HEKIMA YA KULETWA MITUME.
MwenyeziMungu anasema:- "Bila shaka tumempeleka Mtume katika kila umma (awaambie) ya kwamba "Mwabuduni MwenyeziMungu na muepukeni (Iblis) muovu". (An - Nahl -36)
MAISHA YA BARZAKH (BAADA YA KUFA)
MwenyeziMungu anasema: "Hapana! Hakika hili ni neno tu analolisema yeye (aliye mwovu anapofikiwa na mauti) na mbele yao kuna maisha ya baada ya kufa (ya taabu kwa wabaya na ya raha kwa wazuri) mpaka siku watakapofufuliwa!". (Al - Muminun - 100)
VITISHO VYA SIKU YA KIAMA
Na katika kauli Yake:- "(Wakumbusheni) Litakapotokea tokeo (hilo la Kiama). Ambalo kutokea kwake si uwongo. Lifedheheshalo (wabaya). Litukuzalo (wazuri). Ardhi itakapotetemeshwa mtetemeko mkubwa. Na milima itakaposagwa sagwa. Iwe mavumbi yanayopeperushwa". (Al - Waqiah - 1 - 6)
KUMTII MWENYEZIMUNGU NA KUMTII MTUME WAKE(SAW)
MwenyeziMungu anasema:- "Na wenye kumtii MwenyeziMungu na Mtume, basi hao watakuwa pamoja na wale aliowaneemesha MwenyeziMungu; Manabii na Masidiki na Mashahidi na Masalih (watu wema). Na uzuri ulioje (kwa mtu) watu hao kuwa rafiki (zake).” (An - Nisaa -69)
KUTOKA KATIKA DINI -"KUR-TADI"
MwenyeziMungu anasema:- "Wala hawataacha kupigana nanyi, mpaka wakutoeni katika dini yenu, kama wakiweza. Na watakaotoka dini yao katika nyinyi, kisha wakafa hali ya kuwa makafiri, basi hao ndio ambao amali zao zimeharibika katika dunia na akhera. Nao ndio watu wa Motoni. Humo watakaa milele." (Al - Baqarah -217).
JIPATIE MAFUTA YA NAZI
DAWA YA KIBAMIA
Kila ugonjwa unayo Dawa yake. RESPECT ndiyo suluhisho. Ni Dawa ya asili inaweza kuvunja ukimya na kurudisha heshima. haina madhara.
Kuwa na nguvu nyingi bila heshima haitoshi.
Kama heshima ni ndogo tumia Dawa hii Respect biidhni llaahi kuanzia wiki ya pili heshima itakuwa umeanza kuongezeka.
Usikubali kuitwa KIBAMIA.
Dawa ipo bei ni nafuu.
Ukiitaja Utaletewa popote ulipo.
Piga +255713494945
RASHID PILINGU.
FAIDA ZA HULBA(Uwatu).
Hulba
ni moja ya mimea yenye faida zaidi kwa afya ya mwili na matibabu ya magonjwa mengi, na pia ni muhimu katika kutengeneza mapishi mengi ya matibabu na mapambo na kuyaingiza katika pipi na vinywaji vingi.
kula Hulba kwenye maji ya moto au au uji, au asali, au kwa njia zingine, inasaidia mama mjamzito, haswa katika kwa tatizo la kupitisha ada ya mwezi.
Pia inakuwezesha mchakato wa kuzaa na kulainisha kizazi uterasi.
_ Hulba inawanufaisha wale walio na upungufu wa spams
_ Hulba ni dawa ya kuponya magonjwa mengi na kuimarisha mifumo na viungo vingi vya mwili.
_ Hulba husaidia wagonjwa wa kisukari katika mchakato wa kupunguza viwango vya juu vya sukari katika miili yao.
_ Hulba inafanya kazi ya kumtibu mtu aliye na cholesterol nyingi mwilini mwake.
_ Fenugreek pia inafanya kazi kupunguza uzito wa wanene, kwani huchoma mafuta yaliyokusanywa katika miili yao.
_ Hulba hutibu mtu ambaye anahara.
_ Kuna watu wengi wanaougua ugonjwa wa dysuria, kwa hivyo wanapaswa kuchemsha Hulba tu na kuila.
_ Hulba pia hutibu maambukizo ya magonjwa ya tumbo.
_ Hulba ni muhimu katik kutibu kikohozi kali na kikavu pia.
_ Hulba anawatibu wale wanaougua upungufu wa nguvu.
_ Hulba pia hutibu bawasiri, Pumu kwa wakubwa na Watoto.
Tezi dume, kibofu, U. T. I.
Ikipakwa kichwani hukuza nywele, uzuia kukatika. N.
+25571673494945
FAIDA ZA MAJI YA MAJANI YA MKUNAZI
FAIDA YA MAJI YA MAJANI YA MKUNAZI.
Kwa wale wote wanaosumbuliwa na maradhi ya kichawi. Yani magonjwa yanayotokana na uchawi.
Au wanaosumbuliwa na wachawi kwenye nyumba, Shamba au biashara (yani chuma ulete)
Ufumbuzi umepatikana.
Tumia majani ya MKUNAZI
Ndiyo kitu pekee rahisi kinachoweza kuzima uchawi biidhni llaahi.
Unga utakula na kuoga.
Maji ya Mkunazi utakunywa au kuogea, au kunyunyiza au kujipulizia kama PAFYUMU.
Gusa hapa Utazame video ya maji ya mkunazi
Fika Mbagala Charambe
Muone Dr Rashidi Pilingu
ujipatie unga au maji ya mkunazi kwa bei nafuu.
+255713494945
UGONJWA WA PID.
UGONJWA WA PID (Pelvic Inflammatory Disease) au Maambukizi Katika Mfumo wa Uzazi wa Mwanamke. Mara nyingi dactari wengi uchanganya wakafikiri ni UTI
Magonjwa ya zinaa ndio sababu kuu ya wanawake kupata maambukizi katika mfumo wa uzazi yani (PID). Mwanamke 1 kati ya wanawake 8 walipota PID katika wakati wowote ndani ya maisha yao hupata tabu kushika mimba.
(PID) NI NINI?
PID ni maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke na mara nyingi husababishwa na magonjwa ya zinaa kama gonorrhea na chlamydia ila kuna aina ya maambukizi mengine mbali na magonjwa ya zinaa yanaweza kusababisha maambukizi ya PID.
JE! MWANAMKE HUAMBUKIZWAJE PID?
Kuna njia kadhaa ambazo mwanamke anaweza kuambukizwa PID. Njia hizo ni pamoja na:
- Kama una ugonjwa wa zinaa na haijatibiwa
- Kufanya ngono zembe isiyo salama (yani kulala na wanaume tafauti tafauti)
- Kuwa na mpenzi ambaye ana wanawake wengi nnje
- Kama umekuwepo na historia ya PID hapo nyuma
- Maambukizi ya njia ya uzazi hasa kipindi mara baada ya kujifungua (au postpartum period)
- Maambukizi ya njia ya uzazi mara baada ya kutoa mimba kwa njia zisizo salama (post abortion) au mara baada ya mimba kutoka (miscarriage)
- Kutumia vipandikizi vya ndani ya mfuko wa uzazi (IUCD) kama njia mojawapo ya uzazi wa mpango
- Kuambukizwa kupitia damu iliyo na vimelea vya PID
- Kutumia (Vaginal Dauche)
UTAJUAJE UTAJUAJE KAMA UNA(PID)?
Zipo dalili kadhaa za ugonjwa huu wa PID. Miongoni mwa dalili hizi ni:
- Mwanamke kuhisi maumivu ya tumbo hasa maeneo ya chini ya kitovu
- Kupata maumivu ya mgongo
- Mwanamke kupata utoko mchafu sehemu za siri. Utoko huu huambatana na harufu mbaya.
- Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
- Kupata maumivu au kutokwa na damu wakati wa tendo la ndoa
- Kutoka damu bila mpangilio wakati wa hedhi
- Kupata homa
- Kupata damu innje ya siku zako zako za-kawaida kupata damu ya hedhi
- Wakati fulani kuhisi kichefuchefu kama mwanamke mja mzito na kutapika
VIPIMO VYA PID
Hakuna vipimo maalum kudhibitisha mwanamke ameathirika ila Dactari hujua mwanamke ameathirika baada ya kuchukua historia ya muhusika na kufanya vipimo vingine kama:
- Kuchunguza mkojo ili kufahamu kama mgonjwa ana mimba. Kipimo hiki ni muhimu hasa kwa mwanamke aliye katika umri wa kuzaa au mwenye uwezo wa kubeba mimba
- Uchunguzi wa mkojo kwenye darubini ili kutambua aina za vimelea vinavyomletea mgonjwa uambukizi. Aidha mkojo huweza kuoteshwa katika maabara kwa ajili ya kutambua aina nyingine za vimelea viletavyo uambukizi huo.
- Kupima damu kwa ajili ya kuchunguza jinsi aina mbalimbali za chembe za damu zilivyoathiriwa na uambukizi huo au kama kuna mwingiliano na magonjwa mengine yaliyojificha. Kipimo hiki kwa kitaalamu huitwa (Full Blood Picture).
- Kuchukua utando unaozunguka shingo ya uzazi na kuuotesha kwa ajili ya utambuzi wa aina za vimelea viletavyo maambukizi hayo. Kipimo hiki huitwa (Cervical culture)
- Aidha ni muhimu pia kufanya vipimo vingine kwa ajili ya utambuzi wa magonjwa yaambukizwayo kwa njia ya kujamiiana, kama vile virusi vya ukimwi na kisonono.
- Mgonjwa pia anaweza kufanyiwa ultrasound ya nyonga ili kuangalia kama kuna athari yeyote katika mfumo wake wa uzazi.
JE PID INAWEZA KUTIBIWA?
Jibu ni ndio kama itagunduliwa mapema inaweza kutibiwa na ikaisha, ila ieleweke kama tayari ilikuwa imeharibu njia za uzazi uharibifu ule haiwezi kurekebishwa. Kila mara ukichelewesha kutibu PID ndivyo itaharibu mfumo wako wote wa uzazi sasa ni muhimu ukiona mojawapo wa dalili nilizozitaja utembelee daktari ili upate tiba. Hata kama utatibiwa na zile dalili zikapotea hakikisha kila mara unashauriana na daktari wako na ukipata mume mwingine ni muhimu umueleze ili mpate matibabu msi-ambukizane mara kwa mara. Ijulikane kama ulikuwa na PID awali inaweza kurudi mara kwa mara.
MATIBABU
Mara mgonjwa anapogunduliwa kuwa ameathiriwa na ugonjwa huu, dawa za jamii ya antibayotiki huweza kutumika kwa ajili ya kuua vimelea vya ugonjwa.
Au
Kwa Dawa za Asili
Chukuwa Hulba na Manjano changanya pamoja. Kisha chota kikombe 1 Kunywa m
Ieleweke pia mara nyingi ugonjwa hujirudia mara kwa mara kama mwanamke atapewa tiba na mume asitibiwe. Na kama maambukizi imekuwa sugu inabidi muathiriwa amueleze daktari ili apate kutumia anti-biotics kwa mda mrefu kuliko kawaida. Lakini muhimu sana mwanaume apewe dawa wakati mwanamke anatibiwa. Ikiwa mwanamke peke yake atapata tiba pindi atakapo lala na mwanaume yule yule maambukizi yatarejelea.
MADHARA YAKUTO-FWATA MATIBABU
- Maumivu ya mfuko wa uzazi wakudumu
- Utapata ugumu wa kushika mimba
- Ectopic pregnancy (mtoto kuwa innje ya mfuko wa uzazi)
- Kuziba kwa njia ya uzazi
JINSI YA KUZUIA MAAMBUKIZI
Kuna njia kadhaa za kuzuia maambukizi katika mfumo wa uzazi. Njia hizi ni pamoja na:
- Njia hakiki ya kujizuia na maambukizi haya ni kuwacha ngono zembe na kufanya ngono salama ndani ya ndoa halali kwani zina ni haramu, kama utakuwa mwenye kutaka dhambi basi tumia kondomu ili usiwaambukize watu wengine
- Kuwahi kuwaona wataalamu wa afya mara dalili za ugonjwa huu zinapoanza kujitokeza au pindi tu unapogundua kuwa mwenzi wako ana dalili za magonjwa ya zinaa au anatembea na wanawake wengine
- Kufanya vipimo mara kwa mara hasa vya mfumo wa uzazi, pamoja na vipimo vya maambukizi ya magonjwa yanayosambazwa kwa njia ya ngono (STI) khususan ugonjwa wa chlamydia ufanyie vipimo kila mwaka mara 1
- Kutofanya ngono mara baada ya kujifungua, mimba kutoka ili kuhakikisha njia ya shingo ya uzazi imefunga vema.
Sheikh Pilingu Hijama & Ruqya Center
0713494945
TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO (Ulcers).
1. Chemsha habasoda na bizari ya pilau katika maji kunywa kikombe cha chai kutwa x 1
Kila siku kwa miezi 3.
Au
2. Mafuta ya habasoda na habarehani katika maziwa fresh glasi 1 x 3
Kila siku kwa miezi 3.
Au
3. Asali lita1 na unga wa ganda la ndizi vijiko 3 changanya vizuri kisha kula kijiko 1 x 3
Kila siku kwa miezi 3.
Au
4. Ganda la komamanga vijiko 3 na habasoda unga kijiko vijiko 2 tia katika asali lita1 changanya vizuri kisha chota vijiko 2 tia kwenye kikombe 1 cha maziwa kunywa 1x3
Kila siku kwa miezi 3.
Au
5. Kunywa mafuta ya zaituni kijiko 1 na mafuta ya habasoda kijiko 1 kwenye kikombe 1 cha maji ya moto 1x3 Kila siku kwa miezi 3.
6. Juisi ya karoti na mbatata
Kila siku kwa miezi 3.
www.pilingutz.ga
Au
7.Chukua maganda ya palachichi uyaanike
mpaka yakauke kisha yasage. Chukua unga huo ujazo wa vijiko3 vya chakula pamoja na vijiko 3 vya Asali kisha
tumia kulamba.vijiko 2x3
Kila siku kwa miezi 3.
Au
ASALI NA MDALASINI TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO
Tumia Asali ya nyuki,Mdalasini
na Maji ya Uvuguvugu kila siku
Asubuhi kabla ya
kula kitu na jioni kwa muda wa miezi minne
Namna ya kutengeneza Dawa
fanya hivi:
chukuwa kijiko kikubwa kimoja
cha Asali changanya na kijiko
kimoja cha unga wa
Mdalasini uweke katika Glasi 1
ya Maji ya Uvuguvugu kisha
unywe Asubuhi
kabla ya kula au kunywa kitu
chochote kile na ukae kwa
muda wa saa moja
kupita ndio waweza kula.
Na wakati wa usiku fanya hivyo hivyo kunywa tena
mchanganyiko huo wa Asali na
Unga wa Mdalasini dumisha
hivyo Kila siku kwa miezi 3.
©Sheikh Pilingu Hijama & Ruqya Center
+255713494945
www.pilingutz.ga
TIBA YA KIHARUSI (KUPOOZA)
1. Soma Ruqya
2. Unga wa Udi karaha vijiko 2, na Habasoda vijiko 2 katika asali lita 1 changanya kisha kula vijiko 2X3 kila siku.
Au
3. Changanya kijiko kimojakimoja cha Bakalhadi, manimani,habatsoda, sufa, makal-arzak, jauza, kakila, udikaraha, ubani maka,ubani dhukra,ubanimashtaka, halilinji, abilinji, tangawizi, hiliki,darufilfili, halititi,basbas jauza. Vyote view ujazo sawa ila sufa izidi changanya na asali lita 1 na siki kikombe 1. Kula kijiko kikubwa 2X3
Mgonjwa avae nguo za kumwongezea joto muda wote.
Au
4.Chemsha kila siku majani ya pakanga kikombe 1 kwenye maji lita 1.
anywe kidogo kidogo kwa siku mpaka yaishe.
5.kisha umchue sehemu aliyopooza kwa mafuta ya nazi yaliyotiwa Halmiti na irkizamda na karafuu maiti.
1x2.
TIBA YA MARADHI YA FIGO.
1. Kula vijiko 2 vya asali iliyochanganywa na habasoda.
Utie katika glasi ya maji moto.
Au
.2. Kula zabibu kavu 21 kila asubuhi kwa mwezi.
Au
3. Asali lita 1, habasoda unga kijiko1 na thaum kikombe cha kahawa.
kula kijiko kikubwa 2X3 na kila baada ya chakula kula limao 1.
Au
4. Habasoda kijiko1, harmal kijiko1, Jirjir kijiko1 changanya na asali lita 1.
kula vijiko 2X3 katika maziwa moto siku 7-21
Au
Chemsha ndevu za mahindi ujazo wa lita3
kilasiku kunywa lita moja kwamda wa siku3.
Kama bado utahisi bado ugonjwa upo
kunywatena kwa muda wa siku3.
Au
KUSAFISHA FIGO
Mwaka mpaka mwaka figo zetu zinachuja damu na kuondoa chumvi, sumu, na vitu visivyotakiwa mwilini. Kadiri siku zinavyokwenda chumvi hujirundika katika figo tukio ambalo ni hatarishi katika mfumo bora wa utendekazi wa figo hivyo kufanya uhitaji figo kusafishwa mara kwa mara.
NAMNA YAKUSAFISHA FIGO
Ni rahisi sana, kwanza chukua kiasi cha majani ya 'kotimiri' (parsley) au majani ya 'dhania' (coriander) kiasi cha vifungo viwili kisha yaoshe vizuri, katakata katika vipisi vikubwa kubwa kisha weka kwenye chombo ambacho utaweza kuchemshia kama vile sufuria. Weka maji (lita moja) katika sufuria yenye majani hayo kisha chemsha kwa muda was dakika kumi, iache ipoe kisha chuja vizuri na uweke kwenye chupa kisha uiweke katika jokofu ili iweze kupoa zaidi na kupata ubaridi.
Kunywa glasi moja kila siku kama umetumia dhania na utaona chumvi na vitu vyote vilivyorundikana kwenye figo vinatoka kwenye mkojo wakati unapojisaidia haja ndogo, pia utahisi utofauti katika mwili wako ambao hujawahi kuuhisi. Kama utatumia majani ya parsley (kotimiri) usikunywe zaidi ya vijiko vinne vya mezani.
- Ukitumia majani ya dhania kunywa glasi moja kila siku
- Ukitumia majani ya parsley(kotimiri) vijiko vinne vya mezani vya maji ile kila siku na usinywe kama hujakula
Kotimiri pamoja na majani ya dhania yanafahamika kwa uwezo wao bora wakusafisha figo na pia hizi zenyewe ni za asili zote. Zinatoa matokeo sawa pale zinapotumika kusafisha figo, lakini majani ya kotimiri (parsley) yanapendelewa zaidi na ni chaguo zuri kwasababu ya utofauti wake na majani ya dhania (coriander).
Utofauti uliopo Kati ya kotimiri na majani ya dhania ni kwamba; Majani ya kotimiri hayana harufu yoyote ila majani ya dhania yana harufu, pia majani ya kotimiri yanatumika sana kutengenezea saladi. Japo majani haya yanafanana sana ukiangalia kwa ukaribu na kwa makini utagundua kuwa yana utofauti.
ANGALIZO
Juisi hii ya kotimiri ina nguvu sana hivyo usiinywe bila kuwa na kitu tumboni yani ule kwanza kabla yakutumia hii juice, pia usinywe zaid ya mililita 30 yani kipimo kiasi cha vijiko vinne vikubwa vya meza kwa siku. Chukua uangalizi wa karibu wa kujitathimini kama ni mara yako ya kwanza kusafisha figo zako.
Mama mjamzito asitumie juisi hii.
Kotimiri inaaminika kuwa nakiwango kikubwa cha asidi inaitwa 'oxalic acid' hivyo kwa mtu mwenye tatizo la mawe kwa figo asitumie bila ushauri wa docta wa tiba za asili, yani kwa ufasihi mwenye vijiwe katika figo lazima aitumie kwa uangalifu wa daktari kwa ni tiba pia ya kuyayusha hizo vijiwe na kuna vipimo tafauti vitahitajika, pia usitumie na vyakula vingine vyenye madini ya calcium kwani madini ya calcium pamoja na asidi ya oxalic ikichanganyika inageuza ile dawa isiwe organic.
+255713494945
WENGU KUVIMBA MWILI
1. DUA
Au
2. changanya unga wa Hulba na natrun au Khardali pamoja na siki- paka
Au
3. habasoda na siki ya Zabibu chemsha kisha paka kwenye uvimbe na ule vijiko 2X3
DAWA YA NGOZI. (Mba, upele, Chunusi, Fangasi, Miwasho, Malengelenge, Mapunye, Utangotango n.k.
1. Mafuta ya habasoda changanya na mafuta ya waridi na ngano nyukundu- vyote ujazo sawa ila ngano izidi kisha upake kutwa X2 au soma 1:1 au 57:4
KUUNGUA MOTO
2. Ngozi iliyoteketea kwa moto paka asali iliyo changanywa na ute wa yai.
FANGASI
3. Kibiritu azraqu na aswfaru na maziwa ya cowball na mafuta paka kutwa X2
4.Changanya sufa na asali na unywe kijiko 1X3
5.Soma dawa namba 9
6.Changanya mafuta ya H.soda na mafuta ya wardi na ngano nyekundu. Vyote ujazo sawa ila ngano iweX2 paka kutwa X2
NGOZI ILIYOTEKETEA KWA MOTO
7.Changanya asali na ute wa yai kasha paka.
8.Changanya maziwa ya Cowbell na Kibritu aswataru na mafuta yoyote. Paka X2
FANGASI BAINA YA MAPAJA
9.Paka mafuta ya H.saoda kabla ya kulala. Siku 7
10.Majani ya Mrehani sugua kichwani pia hutunza nywele kung’oka na na kuzifanya ziwe nyeusi
11.Changanya mafuta ya Habasoda na mafuta ya Zaituni paka pale palipo athirika
12.Changanya kwa ujazo sawa mafuta ya Habasoda Mafuta ya Mdarasini, mafuta ya Ndimu na Mafuta ya Kitunguu Thaumu.
Chemsha kisha paka kutwa x2.
TATIZO LA MINYOO.
1. Chemsha Qusti kunywa.
2. Asali glasi moja na habasoda ya unga kijiko1 na thaumu kijiko1 changanya. kula vijiko 3x3.
Au
3 tumia kitunguu thaumu.
KITUNGUU SWAUMU NI DAWA YA MARADHI ZAIDI YA 30
HARUFU ICHOMAYO.
Ili kuepukana na harufu ya kitunguu swaumu baada
ya kukila kula tofaa au tafuna majani mabichi ya
naanaa, au kunywa maji yaliyotokosewa karafuu. Kitunguu swaumu kitapoteza nguvu ya tiba
iwapo kitapikwa na kila kinapowekwa muda mrefu
ndipo nguvu zake huongezeka (baada ya majani
yake kukauka kabisa).
Kitunguu swaumu kimekusanya protin 49%,sulphur
25%,kiasi fulani cha chumvi,
Homoni zitoazo nguvu
za kiume,viuaji sumu, vikojozavyo, vitoavyo
safura, vinavyoteremsha hedhi, vimeng'enyo vyenye
kuyeyusha mafuta na viini vyenye kuua minyoo.
Kila utafiti unapoendelea ndipo faida na maajabu ya
kitunguu swaumu yanapoongezeka.
www.pilingu.blogspot.com
BAADHI YA MARADHI YANAYOTIBIWA NA
KITUNGUU SWAUMU;
1.Kiua sumu
2.Kisafisha tumbo
3.Kiyeyusha mafuta(cholestro)
4.Huzuia mvilio wa damu
5.Kusafisha njia ya mkojo
6.Kutibu amoeba
7.Kuzuia kuhara damu(Dysentery)
8.Tumbo kushindwa kumeng'enya(Indigestion)
9.Gesi
10.Msokoto wa tumbo
11.Typhoid
12.Kidonda kilichooza
13.Dondakoo
14.Mabaka
15.Baridi yabisi(Rheumatisim)
16.Mishipa
17.Uziwi
18.Virusi vya homa ya mafua(Influenza)
19.Mafua
20.Saratani(Cancer)
21.Kifaduro
22.Kifua kikuu cha mapafu
23.Kipindupindu
24.Kutoa minyoo
25.Upele
26.Kuvunjavunja mawe katika figo
27.Mba kichwani
28.Kuupa nguvu ubongo
29.Kuupa nguvu fizi
30.Kuzuia meno kung'ooka
31.Nguvu za kiume
32.Maumivu ya kichwa
33.Kizunguzungu/kisunzi
34.Kutuliza maumivu ya meno
35.Kujenga misuli na kutia nguvu
36.Mkakamo wa ateri(Arteriosclerosis)
37.Shinikizo la damu
38.Kinga ya tauni na ukimwi
39.Magonjwa ya macho
MATUMIZI NA MAANDALIZI KATIKA KUTIBU
Matumizi na maandalizi ya kitunguu swaumu.
Namna nzuri ni kukisaga kitunguu kikombe 1 kwenye Maji lita 1. Kunywa kikombe 1 cha kahawa x3 kila siku.
Kikipikwa
kinapoteza nguvu ya tiba kutegemeana na tiba
unayokusudia.
Kumbuka pia kwamba kitunguu swaumu huweza
kuchanganywa na vitu vingine
mfano;maziwa,asali,habatsouda,juisi,shayiri.nk.
1-TIBA YA NGOZI
Tiba.
1. Mafuta ya habasoda changanya na mafuta ya waridi na ngano nyukundu- vyote ujazo sawa ila ngano izidi kasha upake kutwa X2 au soma 1:1 au 57:4
KUUNGUA MOTO
1. Ngozi iliyoteketea kwa moto paka asali iliyo changanywa na ute wa yai.
FANGASI
1. Kibiritu azraqu na aswfaru na maziwa ya cowball na mafuta paka kutwa X2
Changanya sufa na asali na unywe kijiko 1X3
Soma dawa namba 9
Changanya mafuta ya H.soda na mafuta ya wardi na ngano nyekundu. Vyote ujazo sawa ila ngano iweX2 paka kutwa X2
NGOZI ILIYOTEKETEA KWA MOTO
Changanya asali na ute wa yai kasha paka.
Changanya maziwa ya Cowbell na Kibritu aswataru na mafuta yoyote. Paka X2
FANGASI BAINA YA MAPAJA
Paka mafuta ya H.saoda kabla ya kulala. Siku 7
Majani ya Mrehani sugua kichwani pia hutunza nywele kung’oka na na kuzifanya ziwe nyeusi
Changanya mafuta ya Habasoda na mafuta ya Zaituni paka pale palipo athirika
Changanya kwa ujazo sawa mafuta ya Habasoda Mafuta ya Mdarasini, mafuta ya Ndimu na Mafuta ya Kitunguu Thaumu.
Chemsha kisha paka kutwa x2.











