HEKIMA YA KULETWA MITUME.

MwenyeziMungu anasema:- "Bila shaka tumempeleka Mtume katika kila umma (awaambie) ya kwamba "Mwabuduni MwenyeziMungu na muepukeni (Iblis) muovu". (An - Nahl -36)

MAISHA YA BARZAKH (BAADA YA KUFA)

MwenyeziMungu anasema: "Hapana! Hakika hili ni neno tu analolisema yeye (aliye mwovu anapofikiwa na mauti) na mbele yao kuna maisha ya baada ya kufa (ya taabu kwa wabaya na ya raha kwa wazuri) mpaka siku watakapofufuliwa!". (Al - Muminun - 100)

VITISHO VYA SIKU YA KIAMA

Na katika kauli Yake:- "(Wakumbusheni) Litakapotokea tokeo (hilo la Kiama). Ambalo kutokea kwake si uwongo. Lifedheheshalo (wabaya). Litukuzalo (wazuri). Ardhi itakapotetemeshwa mtetemeko mkubwa. Na milima itakaposagwa sagwa. Iwe mavumbi yanayopeperushwa". (Al - Waqiah - 1 - 6)

KUMTII MWENYEZIMUNGU NA KUMTII MTUME WAKE(SAW)

MwenyeziMungu anasema:- "Na wenye kumtii MwenyeziMungu na Mtume, basi hao watakuwa pamoja na wale aliowaneemesha MwenyeziMungu; Manabii na Masidiki na Mashahidi na Masalih (watu wema). Na uzuri ulioje (kwa mtu) watu hao kuwa rafiki (zake).” (An - Nisaa -69)

KUTOKA KATIKA DINI -"KUR-TADI"

MwenyeziMungu anasema:- "Wala hawataacha kupigana nanyi, mpaka wakutoeni katika dini yenu, kama wakiweza. Na watakaotoka dini yao katika nyinyi, kisha wakafa hali ya kuwa makafiri, basi hao ndio ambao amali zao zimeharibika katika dunia na akhera. Nao ndio watu wa Motoni. Humo watakaa milele." (Al - Baqarah -217).

HIJAMA NI NINI?

Faida za Kuumika/Chuku/HIJAMAKitendo cha kuumika ni sunna ya Mtume Muhammadi ( ﷺ ) na imepokewa mara nyingi sana katika hadith zilizo sahihi. Kuumika ni kitendo kilichohimizwa na kutiliwa mkazo katika mapokezi mengi. Kuumika ni sehemu ya mfumo unaokamilisha Tiba ya kiutume ya Kiislamu.Kuumika kulikuwa zoezi la kawaida la Mtume Muhammad ( ﷺ ) na Maswahaba zake kwa kutibu maradhi na magonjwa mengi na hata kuukinga mwili na kuboresha afya.Maana YakeHijama au kuumika ni salama, isiyokuwa na madhara na njia isiyogharimu katika kutibu na kuzuia maradhi....

What is HIJAMA, What is Cupping

Benefits of / Chuku / HIJAMA The act of Hijama is the sunnah of the Prophet Muhammad (ﷺ) and has been received many times in authentic hadiths.  Hijama is an act that is encouraged and emphasized in many receptions.  Hijama is part of the system that completes Islamic Apostolic Medicine. Hijama was a common practice of the Prophet Muhammad (ﷺ) and his Companions to treat many ailments and diseases and even to protect the body and improve health. Meaning Hijama is a safe, harmless and cost-effective way to treat and...