HEKIMA YA KULETWA MITUME.

MwenyeziMungu anasema:- "Bila shaka tumempeleka Mtume katika kila umma (awaambie) ya kwamba "Mwabuduni MwenyeziMungu na muepukeni (Iblis) muovu". (An - Nahl -36)

MAISHA YA BARZAKH (BAADA YA KUFA)

MwenyeziMungu anasema: "Hapana! Hakika hili ni neno tu analolisema yeye (aliye mwovu anapofikiwa na mauti) na mbele yao kuna maisha ya baada ya kufa (ya taabu kwa wabaya na ya raha kwa wazuri) mpaka siku watakapofufuliwa!". (Al - Muminun - 100)

VITISHO VYA SIKU YA KIAMA

Na katika kauli Yake:- "(Wakumbusheni) Litakapotokea tokeo (hilo la Kiama). Ambalo kutokea kwake si uwongo. Lifedheheshalo (wabaya). Litukuzalo (wazuri). Ardhi itakapotetemeshwa mtetemeko mkubwa. Na milima itakaposagwa sagwa. Iwe mavumbi yanayopeperushwa". (Al - Waqiah - 1 - 6)

KUMTII MWENYEZIMUNGU NA KUMTII MTUME WAKE(SAW)

MwenyeziMungu anasema:- "Na wenye kumtii MwenyeziMungu na Mtume, basi hao watakuwa pamoja na wale aliowaneemesha MwenyeziMungu; Manabii na Masidiki na Mashahidi na Masalih (watu wema). Na uzuri ulioje (kwa mtu) watu hao kuwa rafiki (zake).” (An - Nisaa -69)

KUTOKA KATIKA DINI -"KUR-TADI"

MwenyeziMungu anasema:- "Wala hawataacha kupigana nanyi, mpaka wakutoeni katika dini yenu, kama wakiweza. Na watakaotoka dini yao katika nyinyi, kisha wakafa hali ya kuwa makafiri, basi hao ndio ambao amali zao zimeharibika katika dunia na akhera. Nao ndio watu wa Motoni. Humo watakaa milele." (Al - Baqarah -217).

TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO (Ulcers).

1. Chemsha habasoda na bizari ya pilau katika maji kunywa kikombe cha chai kutwa x 1 Kila siku kwa miezi 3. Au 2. Mafuta ya habasoda na habarehani katika maziwa fresh glasi 1 x 3 Kila siku kwa miezi 3. Au 3. Asali lita1 na unga wa ganda la ndizi vijiko 3 changanya vizuri kisha kula kijiko 1 x 3 Kila siku kwa miezi 3. Au 4. Ganda la komamanga vijiko 3 na habasoda unga kijiko vijiko 2 tia katika asali lita1 changanya vizuri kisha chota vijiko 2 tia...

TIBA YA KIHARUSI (KUPOOZA)

1. Soma Ruqya 2. Unga wa Udi karaha vijiko 2, na Habasoda vijiko 2 katika asali lita 1 changanya kisha kula vijiko 2X3 kila siku. Au 3. Changanya kijiko kimojakimoja cha Bakalhadi, manimani,habatsoda, sufa, makal-arzak, jauza, kakila, udikaraha, ubani maka,ubani dhukra,ubanimashtaka, halilinji, abilinji, tangawizi, hiliki,darufilfili, halititi,basbas jauza. Vyote view ujazo sawa ila sufa izidi changanya na asali lita 1 na siki kikombe 1. Kula kijiko kikubwa 2X3 Mgonjwa avae nguo za kumwongezea joto muda wote. Au 4.Chemsha kila siku majani ya...

TIBA YA MARADHI YA FIGO.

1. Kula vijiko 2 vya asali iliyochanganywa na habasoda. Utie katika glasi ya maji moto. Au .2. Kula zabibu kavu 21 kila asubuhi kwa mwezi. Au 3. Asali lita 1, habasoda unga kijiko1  na thaum kikombe cha kahawa.  kula kijiko kikubwa 2X3 na kila baada ya chakula kula limao 1. Au 4. Habasoda kijiko1, harmal kijiko1, Jirjir kijiko1  changanya na asali lita 1. kula vijiko 2X3 katika maziwa moto siku 7-21 Au Chemsha ndevu za mahindi...

JE UNAJUWA KIUNGULIA NI NINI?

KIUNGULIA NA TIBA YAKE. Kiungulia (heart burn) ni hali ya kuckia kama unaungua ndan ya koo nayo ni baada ya fluid (HCL acid) ilioko tumbon kupanda kwenye mrija wa chakula (oesophagus) hutokana na kula vyakula vya wanga kwa wingi (starch) na gesi ni hewa tu ambayo mara nyng hua inajaa tumboni huweza sababishwa na wadudu wanao act ktk chakula na kutoa gesi kama ni moja ya product zake hata helicobacta pylory anaesababisha vidonda va tumbo husababisha...