Ugonjwa wa pumu ni ugonjwa ambao huathiri sehemu ya kupitisha hewa kwenye mapafu ya binadamu zinazojulikana kitaalamu kama bronchioles.
Mtu mwenye pumu huwa na mcharuko mwili sugu (chronic Inflammation) kwenye mirija yake ya kupitishia hewa (bronchioles tubes) hali ambayo husababisha kuvimba kwa kuta za mirija hii, kujaa kwa ute mzito (mucus) na kupungua kwa njia ya kupitishia hewa, hali ambayo humfanya muathirika kushindwa kuvuta na kutoa hewa nje vizuri.
Hivyo kupumua kwa shida sana. Hali hii inaweza kudumu kwa muda mfupi au mrefu kiasi cha kuhitaji tiba ili kumuwezesha mgonjwa kupata nafuu.
Ukitaka matibabu ya Pumu kikamilifu njoo Mbagala Daressalaam
Au tupigie kwenye+255713494945
#Asthma #medication
#Médicaments #contre #l'asthme #Pumu