HEKIMA YA KULETWA MITUME.

MwenyeziMungu anasema:- "Bila shaka tumempeleka Mtume katika kila umma (awaambie) ya kwamba "Mwabuduni MwenyeziMungu na muepukeni (Iblis) muovu". (An - Nahl -36)

MAISHA YA BARZAKH (BAADA YA KUFA)

MwenyeziMungu anasema: "Hapana! Hakika hili ni neno tu analolisema yeye (aliye mwovu anapofikiwa na mauti) na mbele yao kuna maisha ya baada ya kufa (ya taabu kwa wabaya na ya raha kwa wazuri) mpaka siku watakapofufuliwa!". (Al - Muminun - 100)

VITISHO VYA SIKU YA KIAMA

Na katika kauli Yake:- "(Wakumbusheni) Litakapotokea tokeo (hilo la Kiama). Ambalo kutokea kwake si uwongo. Lifedheheshalo (wabaya). Litukuzalo (wazuri). Ardhi itakapotetemeshwa mtetemeko mkubwa. Na milima itakaposagwa sagwa. Iwe mavumbi yanayopeperushwa". (Al - Waqiah - 1 - 6)

KUMTII MWENYEZIMUNGU NA KUMTII MTUME WAKE(SAW)

MwenyeziMungu anasema:- "Na wenye kumtii MwenyeziMungu na Mtume, basi hao watakuwa pamoja na wale aliowaneemesha MwenyeziMungu; Manabii na Masidiki na Mashahidi na Masalih (watu wema). Na uzuri ulioje (kwa mtu) watu hao kuwa rafiki (zake).” (An - Nisaa -69)

KUTOKA KATIKA DINI -"KUR-TADI"

MwenyeziMungu anasema:- "Wala hawataacha kupigana nanyi, mpaka wakutoeni katika dini yenu, kama wakiweza. Na watakaotoka dini yao katika nyinyi, kisha wakafa hali ya kuwa makafiri, basi hao ndio ambao amali zao zimeharibika katika dunia na akhera. Nao ndio watu wa Motoni. Humo watakaa milele." (Al - Baqarah -217).

KUTIBU HEDHI ISIYOKATIKA (Nazifu) , AU KIKOJOZI.


Nazifu ni tatizo la Mwanamke kutokwa na Damu mfululizo au kidogo kidogo ambayo ni tofauti na Hedhi ya kawaida.

Somea Maji aya hii mara 21
Surah Hud 44 
mpaka kwenye neno waqudhwiyal amru

ÙˆَÙ‚ِیلَ ÛŒَÙ€ٰۤØ£َرۡضُ ٱبۡÙ„َعِÛŒ Ù…َاۤØ¡َÙƒِ ÙˆَÛŒَÙ€ٰسَÙ…َاۤØ¡ُ Ø£َÙ‚ۡÙ„ِعِÛŒ Ùˆَغِیضَ ٱلۡÙ…َاۤØ¡ُ ÙˆَÙ‚ُضِÛŒَ ٱلۡØ£َÙ…ۡرُ ....

mpe anywe siku 21 kutwa x3
Damu au Mikojo itakatika biidhnillaahi.
Kama una tatizo hili na unahitaji Maji ya Dua nipigie au nitafute WhatsApp +255713494945
Naweza kukutumia popote ulipo.

PUMU NA TIBA YAKE.

Ugonjwa wa pumu ni ugonjwa ambao huathiri sehemu ya kupitisha hewa kwenye mapafu ya binadamu zinazojulikana kitaalamu kama bronchioles. 
Mtu mwenye pumu huwa na mcharuko mwili sugu (chronic Inflammation) kwenye mirija yake ya kupitishia hewa (bronchioles tubes) hali ambayo husababisha kuvimba kwa kuta za mirija hii, kujaa kwa ute mzito (mucus) na kupungua kwa njia ya kupitishia hewa, hali ambayo humfanya muathirika kushindwa kuvuta na kutoa hewa nje vizuri.
 Hivyo kupumua kwa shida sana. Hali hii inaweza kudumu kwa muda mfupi au mrefu kiasi cha kuhitaji tiba ili kumuwezesha mgonjwa kupata nafuu.
Ukitaka matibabu ya Pumu kikamilifu njoo Mbagala Daressalaam
Au tupigie kwenye+255713494945
#Asthma #medication
#Médicaments #contre #l'asthme #Pumu

HIJAMA NI NINI?

Faida za Kuumika/Chuku/HIJAMA

Kitendo cha kuumika ni sunna ya Mtume Muhammadi ( ï·º ) na imepokewa mara nyingi sana katika hadith zilizo sahihi. Kuumika ni kitendo kilichohimizwa na kutiliwa mkazo katika mapokezi mengi. Kuumika ni sehemu ya mfumo unaokamilisha Tiba ya kiutume ya Kiislamu.
Kuumika kulikuwa zoezi la kawaida la Mtume Muhammad ( ï·º ) na Maswahaba zake kwa kutibu maradhi na magonjwa mengi na hata kuukinga mwili na kuboresha afya.

Maana Yake
Hijama au kuumika ni salama, isiyokuwa na madhara na njia isiyogharimu katika kutibu na kuzuia maradhi. Ijapokuwa matumizi ya Wachina katika mfumo huu matibabu yao yameengemezwa katika sehemu chache kama matatizo ya mapafu, mafua, kutibu maradhi ya viungo vya ndani, maumivu ya viungo, nk. Uwezo wa kuumika au hijama na faida zake ni kubwa zaidi kuliko mapungufu au hasara zake.
Neno Hijama linamaanisha ‘kutoa’ kwa Kiarabu. Kwa sasa inatambulika kama njia mbadala ya tiba ya kutibu maradhi mbali mbali na magonjwa mengine katika mwili. 
Matibabu ya kisayansi ya sasa pia yanakubaliana na faida mbali mbali za hijama au kuumika na hata kupendekeza matumizi yake katika maradhi mbali mbali.
Katika taratibu hizi ambazo si za kiupasuaji, sumu au damu chafu hutolewa kutoka katika mwili. Baadhi sehemu za hijama au kuumika katika mwili hutumika Katika sehemu hizo zilizochaguliwa, damu husababishwa kuwa katika sehemu hiyo alafu hunyonywa na kwa kutumia mfumo wa bomba, chupa au chombo kisichokuwa na chochote ndani yake. 

Faida Zake
Kuumika ni mbinu za kale za kutoa damu chafu ambayo ilikuwa ikitumika katika nchi nyingi katika kutibu baadhi ya Maradhi au magonjwa mengine ya mwili. Wakati Wachina wanaonekana kwamba wanaongoza katika matumizi ya mbinu za kutoa damu chafu kwa kutibu maradhi mbali mbali, Waarabu wamerithi kama sunna iliyokokotezwa na Mtume Muhammad ( ï·º ) .WAzungu nao walikuwa wanafanya hijama au kuumika katika kutibu baadhi ya maradhi. Tofauti iliyopo baina ya Waarabu au Waislamu na wengine katika kuumika au hijama ni kwamba ilifanyika kwa wazi na Waumini walipendezwa nayo sana kama ni sunna ya Mtume Muhammad ( ï·º ) (bila ya kuuliza chochote) na wengine wanaifanya kama faida ya kimatibabu.

Faida ya kwanza kabisa na inayoongoza ya kuumika au hijama kwa muumin ni faida atakayoipata hapa duniani na kesho akhera, baada ya kufuata sunna iliyokokotezwa ya Mtume Muhammad ( ï·º ). Si waumini peke yao ila kila mtu anakaribishwa kuchunguza au kupata uzoefu juu ya faida walizotunikiwa waumini kwa kufuata amri za Mwenyezi Mungu na Mtume wake ( ï·º ) kwa upande mwingine, tunapoaangalia mbinu hizi za kutoa damu chafu kwa mtazamo wa kidunia tunagundua kwamba kuumika au hijama ina faida nyingi sana.

Inafahamika kwamba kuumika au hijama inasaidia kuongeza nguvu katika damu. Inaondoa sumu na uchafu katika damu.Inaharakisha uponyaji wa haraka na watu hupona maradhi haraka baada ya kuumika au hijama. Kuumika au Hijama inafahamika kwa kuzuia maradhi na kwa hiyo inaweza kusadikika kama inaongoza katika ukingaji wa maradhi mengi. Zaidi ya hayo, pia ianfahamika kwamba kuumika au hijama inaweza kuwasaidia wale watu ambao wamekumbwa na uchawi au wamepatwa na Jini.

Kuumika au hijama haina madhara kama itatekelezwa vizuri. Ni vizuri ukafahamu kwamba asilimia 70 ya maradhi au magonjwa yoyotehutokana kushindwa kwa damu kuzunguka vizuri katika mwili. Ziadi ya hilo huwa tuna kuwa wagonjwa au viungo vyetu kushindwa kufanya kazi wakati damu yetu inayozunguka mwilini imeajaa sumu na uchafu mwingine. Bila ya kuondoa sumu katika miili yetu au kutoka kwenye damu, si tu kwamba hatutapona haraaka kutokana na maradhi yanayotusumbua ila pia tunakaribisha maradhi mengine au magonjwa. Kuumika au hijama ndiyo njia sahihi ya kuondoa sumu kutoka mishipa ya damu, na matokeo yake bila ya shaka yatakusababishia kuwa na afya nzuri na mwili unaofanya kazi vizuri. Tusisahau kwamba njia hii nzuri na yenye kusaidia imependekezwa na sunna ya Mtume Muhammad ( ï·º ) inatusaidia kujikingana maradhi mengi na maambukizi kama shinikizo la damu, magonjwa yanayotokana na mzunguko wa damu, maumivu, ugumba na utasa, kansa nk 

Umuhimu wa Kuumika au Hijama kutokana na muongozo wa Wahyi.
Kuliko kuweka maneno zaidi katika kutaja sifa na ubora wa kuumika, ni vizuri tukaziangalia hadith zifuatazo ambazo zinatosheleza kuelezea faida na umuhimu wa Kuumika au Hijama.
“Kwa kweli kwenye Kuumika au hijama kuna dawa.” – Sahihi Muslim
“kwa kweli, tiba ilyo bora mliyonayo ni kuumika au hijama.” – Sahihi Bukhari
“Kuumika ni njia bora zaidi kwa wanadamu katika kujitibu.” ”.– Sahihi Bukhari na Sahihi Muslim
Umuhimu wa Kuumika katika muongozo wa kiroho unaweza kusisitizwa kwa maneno yafuatayo ambayo aliambiwa Mtume Muhammad ( ï·º ) katika usiku wa Israa na malaika: “Ewe Muhammad, waamrisha umma wako kuhusu kuumika.” – Sahihi Muslim, Sunan Tirmidh

Mtume Muhammad ( ï·º ) inasemakana alihumikwa katika kichwa chake kutokana na kuumwa kipandauso (Bukhari), katika kidole chake cha mguu kutokana na kutenguka (Ibn Majah) katika shingo yake (Abu Daud), katika nyonga kutokana na maumivu ya nyonga (Abu Daud) na mabega kwa ajili ya kutoa sumu (Ahmed).

Abdullah ibn Abbas (Mwenyezi Mungu awe radhi nae) amesimulia kwamba Mtume ( ï·º ) amesema: “sikumpita malaika yoyote katika safari yangu ya usiku isipokuwa aliniambia: kilicho bora ni Kuumika, Ewe Muhammad.” (Sahihi Bukhari, Sunan Ibn Majah)

“Dawa iliyobora ambayo unaweza kujitibia ni kuumika, au ni miongoni mwa dawa bora kabisa au Dawa unaweza kuitumia ni kuumika.”(Sahihi Bukhari:5371) 

“Kuumika ni taratibu iliyo namanufaa zaidi kwa wanadamu kwa ajili ya kujitibu.” (Sahihi Bukharin a Muslim)
#)Pilingu #RUQYA #HIJAMA SIYO #PIRINGU

Abu Huraira (Mwenyezi Mungu awe radhi nae) amesimulia kwamba Mjumbe wa Mwenyezi Mungu ( ï·º ) amesema:”Kama kungekuwa na kitu bora kinachoweza kutumika kama dawa basi ni kuumika.” *Sunan Abu Dawud, Sunan Ibn Majah)
Gusa maandishi haya ili kutazama video ya Hijama.
©
Sheikh Pilingu 
Ruqya & Hijama Center 
Mbagala Charambe Daressalaam 
+255713494945

What is HIJAMA, What is Cupping

Benefits of / Chuku / HIJAMA

 The act of Hijama is the sunnah of the Prophet Muhammad (ï·º) and has been received many times in authentic hadiths.  Hijama is an act that is encouraged and emphasized in many receptions.  Hijama is part of the system that completes Islamic Apostolic Medicine.
 Hijama was a common practice of the Prophet Muhammad (ï·º) and his Companions to treat many ailments and diseases and even to protect the body and improve health.

 Meaning
 Hijama is a safe, harmless and cost-effective way to treat and prevent disease.  Although the use of Chinese in this system their treatment has been limited to a number of areas such as lung problems, influenza, internal organ disease, joint pain, etc.  The potential of Hijama and its benefits are far greater than its limitations or disadvantages.
 The word Hijama means ‘giving’ in Arabic.  It is currently recognized as an alternative to treating various ailments and diseases in the body.
 Current scientific treatments also agree with the various benefits of hijama and even recommend its use in various ailments.
 In these non-surgical procedures, toxins or dirty blood are removed from the body.  Some parts of the hijama in the body are used In those selected areas, blood is drawn into that area and then absorbed and by means of a tube, bottle or container with nothing in it.

 Its Benefits
 Hijama is an ancient method of donating dirty blood that was used in many lands to treat certain ailments or other ailments of the body.  While the Chinese appear to be leading the way in the use of blood transfusion techniques to treat various ailments, the Arabs have inherited it as a sunnah distorted by the Prophet Muhammad (ï·º).  The difference between the Arabs or the Muslims and the others is that the pilgrimage was performed openly and the Believers were very interested in it as the sunnah of the Prophet Muhammad (ï·º) (without question) and some view it as a medical benefit.

 The first and foremost benefit of pilgrimage for a believer is the benefit he will receive in this world and in the hereafter, after following the perverted sunnah of the Prophet Muhammad (ï·º).  Not only believers but everyone is welcome to explore or experience the benefits bestowed on believers by following the commands of Allah and His Messenger (ï·º) on the other hand, when we look at these methods of donating dirty blood from a secular point of view we realize that hijab has many benefits  very.

 It is well known that hijama helps increase energy in the blood.  It removes toxins and impurities from the bloodstream.  Hijama is known for preventing disease and can therefore be credited with leading to the prevention of many diseases.  Furthermore, it is also known that the hijama can help those people who have been possessed by magic or possessed by a Jinn.

  hijama is harmless if it is properly implemented.  It is good to know that 70% of any illnesses or illnesses are caused by the failure of the blood to circulate properly in the body.  In addition we often become ill or our organs fail to function when our circulating blood is full of toxins and other impurities.  Without removing toxins from our bodies or from the blood, not only will we not recover quickly from the ailments that afflict us but we will also welcome other illnesses or diseases.  hijama is the best way to remove toxins from the blood vessels, and the results will no doubt make you healthier and more active.  Let us not forget that this good and helpful method recommended by the sunnah of the Prophet Muhammad (ï·º) helps us to protect ourselves from many diseases and infections such as high blood pressure, circulatory disorders, pain, infertility and infertility, cancer etc.

 The Importance of the Hijama due to the guidance of Revelation.
 Rather than placing more words on the merits and demerits of the Hijama it is better to look at the following hadiths which are sufficient to explain the benefits and significance of the Hijama.
 "Of course in the hijama there is medicine."  - Sahihi Muslim
 "In fact, the best treatment you can have is hijama."  - Sahihi Bukhari
 "Hijama is the best way for human beings to heal themselves."  ”.– Sahih Bukhari and Sahih Muslim
 The importance of Hijama in spiritual guidance can be emphasized by the following words spoken to the Prophet Muhammad (ï·º) on the night of Israa by the angels: "O Muhammad, command your ummah about Hijama."  - Sahihi Muslim, Sunan Tirmidh

 Prophet Muhammad (ï·º) is said to have suffered a severe head injury (Bukhari), in the toe of his ankle (Ibn Majah) in his neck (Abu Daud), in the hip due to hip pain (Abu Daud) and  shoulders for detoxification (Ahmed).

 Abdullah ibn Abbas (may Allah be pleased with him) narrated that the Prophet (ï·º) said: "I did not pass any angel on my nightly journey unless he told me: the best is Hijama, O Muhammad."  (Sahih Bukhari, Sunan Ibn Majah)

 "The best medicine you can treat yourself is Hijama, or it is one of the best medicine or medicine you can use is Hijama." (Sahih Bukhari: 5371)

 "Hijama is the most beneficial procedure for human beings for self-healing."  (Sahih Bukharin a Muslim)

 Abu Huraira (may Allah be pleased with him) narrated that the Messenger of Allah (ï·º) said: "If there was something better that could be used as medicine then it is Hijama."  * Sunan Abu
 Dawud, Sunan Ibn Majah)
 #HIJAMA is #Cupping or #Kuumika

 ©
 Sheikh Pilingu
 Ruqya & Hijama Center
 Mbagala Charambe Daressalaam
 +255713494945

JIPATIE MAFUTA YA NAZI

MAFUTA YA FIRDAUSI.

Hakikisha unapata mafuta ya nazi ambayo ni ya asili kwa asilimia 100, ikiwa utanunua dukani kuna uwezekano mkubwa yakawa yamechanganywa na kemikali zingine au haidrogeni kitu kinachoyapunguzia thamani ile ya asili. 
Tupigie tukupa tupatie Na Mafuta ya nazi kwa bei nafuu.
+255713494945
Chupa ya ml 100 sh 2000
Lita 1 ml 1,000 sh 18,000
lita 5 sh elfu 60,000

DAWA YA KIBAMIA























Kila ugonjwa unayo Dawa yake. RESPECT ndiyo suluhisho. Ni Dawa ya asili inaweza kuvunja ukimya na kurudisha heshima. haina madhara.
Kuwa na nguvu nyingi bila heshima haitoshi.
Kama heshima ni ndogo tumia Dawa hii Respect biidhni llaahi kuanzia wiki ya pili heshima itakuwa umeanza kuongezeka.
Usikubali kuitwa KIBAMIA.
Dawa ipo bei ni nafuu.
Ukiitaja Utaletewa popote ulipo.
Piga +255713494945
RASHID PILINGU.


FAIDA ZA HULBA(Uwatu).


Hulba
ni moja ya mimea yenye faida zaidi kwa afya ya mwili na matibabu ya magonjwa mengi, na pia ni muhimu katika kutengeneza mapishi mengi ya matibabu na mapambo na kuyaingiza katika pipi na vinywaji vingi.

kula Hulba kwenye maji ya moto au au uji, au asali, au kwa njia zingine, inasaidia mama mjamzito, haswa katika kwa tatizo la kupitisha ada ya mwezi.
Pia inakuwezesha mchakato wa kuzaa na kulainisha kizazi uterasi.

_ Hulba inawanufaisha wale walio na upungufu wa spams

_ Hulba ni dawa ya kuponya magonjwa mengi na kuimarisha mifumo na viungo vingi vya mwili.

_ Hulba husaidia wagonjwa wa kisukari katika mchakato wa kupunguza viwango vya juu vya sukari katika miili yao.

_ Hulba inafanya kazi ya kumtibu mtu aliye na cholesterol nyingi mwilini mwake.

_ Fenugreek pia inafanya kazi kupunguza uzito wa wanene, kwani huchoma mafuta yaliyokusanywa katika miili yao.

_ Hulba hutibu mtu ambaye anahara.

_ Kuna watu wengi wanaougua ugonjwa wa dysuria, kwa hivyo wanapaswa kuchemsha Hulba tu na kuila.
_ Hulba pia hutibu maambukizo ya magonjwa ya tumbo.

_ Hulba ni muhimu katik kutibu kikohozi kali na kikavu pia.
_ Hulba anawatibu wale wanaougua upungufu wa nguvu.

_ Hulba pia hutibu bawasiri, Pumu kwa wakubwa na Watoto.
Tezi dume, kibofu, U. T. I.
Ikipakwa kichwani hukuza nywele, uzuia kukatika. N.
+25571673494945


FAIDA ZA MAJI YA MAJANI YA MKUNAZI























FAIDA YA MAJI YA MAJANI YA MKUNAZI.

Kwa wale wote wanaosumbuliwa na maradhi ya kichawi. Yani magonjwa yanayotokana na uchawi.
Au wanaosumbuliwa na wachawi kwenye nyumba, Shamba au biashara (yani chuma ulete)
Ufumbuzi umepatikana.
Tumia majani ya MKUNAZI
Ndiyo kitu pekee rahisi kinachoweza kuzima uchawi biidhni llaahi.
Unga utakula na kuoga.
Maji ya Mkunazi utakunywa au kuogea, au kunyunyiza au kujipulizia kama PAFYUMU. 
Ukihitaji Maji ya Mkunazi, au unga wa Mkunazi nipigie au nitafute Whatsapp
Naweza kukutumia popote ulipo kwa gharama nafuu.
Gusa hapa Utazame video ya maji ya mkunazi
#Mkunazi #Sihiri
Fika Mbagala Charambe
Muone Dr Rashidi Pilingu
ujipatie unga au maji ya mkunazi kwa bei nafuu.
+255713494945


UCHAWI:1



NINI MAANA YA UCHAWI?

Al Azhari ambaye ni
mtungaji wa kamusi
maarafu ya kiarabu iitwayo
“LisanulArab” amesema:
“Neno “Uchawi”, kwa
kiarabu “As Sihr”, maana
yake ni kitendo cha
kujikurubisha na shetani na
kwa msaada wake
(shetani)”, na akasema pia
kuwa; “Uchawi ni
kulibadilisha jambo mbali na
uhakika wake, nako ni
kuwadhihirishia watu jambo
lisilo la kweli wakaliona
kuwa ni la kweli.”
Ama Sahaba Ibni Abbas
(Radhiya Llaahu ‘anhu)
amesema:
"Uchawi ni kuidhirisha batili
katika sura ya haki."
Hayo ni katika kamusi za
lugha.
Amma katika kamusi ya dini,
maana ya neno Uchawi (As
Sihr), kama alivyofasiri
Mwanachuoni mkubwa
Fakhruddin Al Razi kuwa;
"Ni kila jambo lililofichika
sababu zake, linalotokeza
kwa sababu zisizo za
kawaida na ndani yake mna
hadaa (khidaa)."
Amma Sheikh Wahiyd
Abdulsalaam Bali, mwandishi
wa kitabu maarufu
kiitwacho 'Al Saarim Al
Batar fiy muhaarabat Al
Saharatul ashraar', na
kitabu kiitwacho "Al wiqaya
mina l jinni wa shaytan",
ambaye pia ni mtaalamu
maarufu katika elimu ya
majini na mashetani na
uchawi na ambaye pia ni
katika maulamaa maarufu
wanaotoa majini kwa njia ya
kusoma Qur-aan, yeye
anasema:
"Uchawi ni makubaliano
baina ya mchawi na Jinni
akishurutishwa mchawi
kufanya mambo ya haramu
au ya shirki, na baada ya
kufanya hayo, Jinni
anashurutishwa kumsaidia
na kumtii mchawi huyo kwa
kila anachotaka."
Baadhi ya yale ambayo
mchawi anatakiwa na
shetani ayatende ili
ajikurubishe naye ni:
 Mchawi anatakiwa auvae
msahafu miguuni na
aingie nao chooni
 Aandike baadhi ya aya
za Qur-aan kwa damu
ya hedhi.
 Miongoni mwao
wanashurutishwa
kuandika aya za Qur-aan
penye nyayo za miguu.
 Au aiandike suratulFatiha
kinyume nyume.
 Asali bila ya Udhuu.
 Wengine hutakiwa
kuchinja mnyama bila ya
kulitaja jina la
MwenyeziMungu kisha
amtupe mnyama huyo
mahali maalum
anapoamrishwa na
shetani.
 Wamo miongoni mwao
wanaozungumza na
nyota au kuzisujudia.
 Au hutakiwa kuandika
herizi kwa maneno yenye
kufru ndani yake
Imeelezwa kwamba katika
nchi ya Sham kulikuwa na
mtu ambaye watu walikuwa
wakimpenda na kumheshimu
sana wakimdhania kuwa ni
mtu mwenye makarama.
Mtu huyu alikuwa kila
mwaka katika msimu wa
Hajji akiwatumikia watu wa
mji wake kwa kuchukua
barua zao na vitu vyao na
kuwapelekea watu wao
waliokwenda Saudia kuhijji.
www.pilingu.blogspot.com
Alikuwa akipeleka na kurudi
kwa muda wa siku moja au
mbili tu, na watu
walimpenda sana na kuamini
kwamba alikuwa ni Waliy.
Siku moja mtu huyo aliumwa
sana, akamuita mwanawe
na kumwambia kuwa kama
atakufa, basi ende mahali
fulani wakati wa usiku na
atamkuta ngamia wa aina
fulani na ampande na
kufuata amri zote
atakazopewa na ngamia
huyo.
Alipofariki dunia, mwanawe
alifanya kama alivyoambiwa
na baba yake, akaondoka
peke yake wakati wa usiku
na kuelekea jangwani kule
alikoambiwa na baba yake
kuwa atamkuta ngamia.
Akamkuta ngamia kama
alivyoambiwa, akampanda
na alipokuwa akenda,
ngamia akaanza kusema na
kumtaka kijana yule ashuke
na amsujudie.
Yule kijana alistuka sana
kusikia ngamia akisema na
pia akashangazwa na amri
zake, akamwambia:
"Vipi nikusujudie, kweni
wewe ni nani?"
"Ikiwa unataka nifuate amri
zako kama nilivyokuwa kwa
baba yako, na nikupeleke
popote utakapo duniani, basi
unisujudie kama alivyokuwa
akinisujudia baba yako."
Yule kijana akajibu:
"Mimi ninamsujudia
Mwenyezi Mungu peke yake,
amma wewe la, siwezi
kukusujudia."
Ngamia akamrusha kijana
yule kutoka juu ya mgongo
wake na kumwangusha
chini, na kijana yule akatoka
mbio mpaka nyumbani kwa
mama yake na kumuelezea
yote aliyoyaona na kwamba
baba yake alikuwa
akimsujudia Jinni ndiyo
maana alikuwa na uwezo
wa kusafiri kila anapotaka
kwenda kwa kupaishwa na
jini yule.
Kwa haya inatubainikia
kuwa Jinni hamsaidii wala
hamhudumii mchawi wala
mtu yeyote isipokuwa naye
kwa mkabala wake
atumikiwe kwa kutendewa
matendo ya kufru, na
maulamaa wanasema:
"Kila mchawi anapokufuru
zaidi, basi shetani
humtumikia kwa nguvu
zaidi, na mchawi akitaka
apate huduma ya hali ya juu
kabisa kutoka kwa
masultani wa majini au kwa
kiarabu wanaitwa
"Maradatul Jinni", basi
inambidi afanye kufuru
kubwa zaidi, na kwa ajili
hiyo, mchawi anapotaka
nguvu juu ya wenzake
inamlazimikia akufuru zaidi."
Kutokana na haya
tunafahamu kwamba
mchawi na shetani ni
marafiki na washirika katika
kumuasi MwenyeziMungu.
MwenyeziMungu Anasema:
"Na (wakumbushe) siku
atakapowakusanya wote
(akawaambia): "Enyi
makundi ya majini! Hakika
nyinyi mmechukua wafuasi
wengi katika wanaadamu".
Na marafiki wao katika
wanaadamu
(watagombania) waseme:
"Mola wetu! Tulinufaishana
sisi na wao na tumefikia
muda wetu uliotuwekea".
Basi (Mungu) atasema;
"Moto ndio makazi yenu,
mtakaa humo milele", ila
apende MwenyeziMungu
(kuwarehemu), hakika Mola
wako ndiye Mwenye hikima
(na) ndiye ajuaye.”
Al An - Am - 128
Je, Utamjuaje mchawi???
Usipitwe na sehemu ya 2.

UGONJWA WA PID.

UGONJWA WA PID (Pelvic Inflammatory Disease) au Maambukizi Katika Mfumo wa Uzazi wa Mwanamke. Mara nyingi dactari wengi uchanganya wakafikiri ni UTI

Magonjwa ya zinaa ndio sababu kuu ya wanawake kupata maambukizi katika mfumo wa uzazi yani (PID). Mwanamke 1 kati ya wanawake 8 walipota PID katika wakati wowote ndani ya maisha yao hupata tabu kushika mimba.

(PID) NI NINI?
PID ni maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke na mara nyingi husababishwa na magonjwa ya zinaa kama gonorrhea na chlamydia ila kuna aina ya maambukizi mengine mbali na magonjwa ya zinaa yanaweza kusababisha maambukizi ya PID.

JE! MWANAMKE HUAMBUKIZWAJE PID?
Kuna njia kadhaa ambazo mwanamke anaweza kuambukizwa PID. Njia hizo ni pamoja na:

- Kama una ugonjwa wa zinaa na haijatibiwa
- Kufanya ngono zembe isiyo salama (yani kulala na wanaume tafauti tafauti)
- Kuwa na mpenzi ambaye ana wanawake wengi nnje
- Kama umekuwepo na historia ya PID hapo nyuma
- Maambukizi ya njia ya uzazi hasa kipindi mara baada ya kujifungua (au postpartum period)
- Maambukizi ya njia ya uzazi mara baada ya kutoa mimba kwa njia zisizo salama (post abortion) au mara baada ya mimba kutoka (miscarriage)
- Kutumia vipandikizi vya ndani ya mfuko wa uzazi (IUCD) kama njia mojawapo ya uzazi wa mpango
- Kuambukizwa kupitia damu iliyo na vimelea vya PID
- Kutumia (Vaginal Dauche)

UTAJUAJE UTAJUAJE KAMA UNA(PID)?
Zipo dalili kadhaa za ugonjwa huu wa PID. Miongoni mwa dalili hizi ni:

- Mwanamke kuhisi maumivu ya tumbo hasa maeneo ya chini ya kitovu
- Kupata maumivu ya mgongo
- Mwanamke kupata utoko mchafu sehemu za siri. Utoko huu huambatana na harufu mbaya.
- Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
- Kupata maumivu au kutokwa na damu wakati wa tendo la ndoa
- Kutoka damu bila mpangilio wakati wa hedhi
- Kupata homa
- Kupata damu innje ya siku zako zako za-kawaida kupata damu ya hedhi
- Wakati fulani kuhisi kichefuchefu kama mwanamke mja mzito na kutapika

VIPIMO VYA PID
Hakuna vipimo maalum kudhibitisha mwanamke ameathirika ila Dactari hujua mwanamke ameathirika baada ya kuchukua historia ya muhusika na kufanya vipimo vingine kama:

- Kuchunguza mkojo ili kufahamu kama mgonjwa ana mimba. Kipimo hiki ni muhimu hasa kwa mwanamke aliye katika umri wa kuzaa au mwenye uwezo wa kubeba mimba
- Uchunguzi wa mkojo kwenye darubini ili kutambua aina za vimelea vinavyomletea mgonjwa uambukizi. Aidha mkojo huweza kuoteshwa katika maabara kwa ajili ya kutambua aina nyingine za vimelea viletavyo uambukizi huo.
- Kupima damu kwa ajili ya kuchunguza jinsi aina mbalimbali za chembe za damu zilivyoathiriwa na uambukizi huo au kama kuna mwingiliano na magonjwa mengine yaliyojificha. Kipimo hiki kwa kitaalamu huitwa (Full Blood Picture).
- Kuchukua utando unaozunguka shingo ya uzazi na kuuotesha kwa ajili ya utambuzi wa aina za vimelea viletavyo maambukizi hayo. Kipimo hiki huitwa (Cervical culture)
- Aidha ni muhimu pia kufanya vipimo vingine kwa ajili ya utambuzi wa magonjwa yaambukizwayo kwa njia ya kujamiiana, kama vile virusi vya ukimwi na kisonono.
- Mgonjwa pia anaweza kufanyiwa ultrasound ya nyonga ili kuangalia kama kuna athari yeyote katika mfumo wake wa uzazi.

JE PID INAWEZA KUTIBIWA?
Jibu ni ndio kama itagunduliwa mapema inaweza kutibiwa na ikaisha, ila ieleweke kama tayari ilikuwa imeharibu njia za uzazi uharibifu ule haiwezi kurekebishwa. Kila mara ukichelewesha kutibu PID ndivyo itaharibu mfumo wako wote wa uzazi sasa ni muhimu ukiona mojawapo wa dalili nilizozitaja utembelee daktari ili upate tiba. Hata kama utatibiwa na zile dalili zikapotea hakikisha kila mara unashauriana na daktari wako na ukipata mume mwingine ni muhimu umueleze ili mpate matibabu msi-ambukizane mara kwa mara. Ijulikane kama ulikuwa na PID awali inaweza kurudi mara kwa mara.

MATIBABU
Mara mgonjwa anapogunduliwa kuwa ameathiriwa na ugonjwa huu, dawa za jamii ya antibayotiki huweza kutumika kwa ajili ya kuua vimelea vya ugonjwa.

Au
Kwa Dawa za Asili
Chukuwa Hulba na Manjano changanya pamoja. Kisha chota kikombe 1 Kunywa m
Ieleweke pia mara nyingi ugonjwa hujirudia mara kwa mara kama mwanamke atapewa tiba na mume asitibiwe. Na kama maambukizi imekuwa sugu inabidi muathiriwa amueleze daktari ili apate kutumia anti-biotics kwa mda mrefu kuliko kawaida. Lakini muhimu sana mwanaume apewe dawa wakati mwanamke anatibiwa. Ikiwa mwanamke peke yake atapata tiba pindi atakapo lala na mwanaume yule yule maambukizi yatarejelea.

MADHARA YAKUTO-FWATA MATIBABU
- Maumivu ya mfuko wa uzazi wakudumu
- Utapata ugumu wa kushika mimba
- Ectopic pregnancy (mtoto kuwa innje ya mfuko wa uzazi)
- Kuziba kwa njia ya uzazi

JINSI YA KUZUIA MAAMBUKIZI
Kuna njia kadhaa za kuzuia maambukizi katika mfumo wa uzazi. Njia hizi ni pamoja na:

- Njia hakiki ya kujizuia na maambukizi haya ni kuwacha ngono zembe na kufanya ngono salama ndani ya ndoa halali kwani zina ni haramu, kama utakuwa mwenye kutaka dhambi basi tumia kondomu ili usiwaambukize watu wengine
- Kuwahi kuwaona wataalamu wa afya mara dalili za ugonjwa huu zinapoanza kujitokeza au pindi tu unapogundua kuwa mwenzi wako ana dalili za magonjwa ya zinaa au anatembea na wanawake wengine
- Kufanya vipimo mara kwa mara hasa vya mfumo wa uzazi, pamoja na vipimo vya maambukizi ya magonjwa yanayosambazwa kwa njia ya ngono (STI) khususan ugonjwa wa chlamydia ufanyie vipimo kila mwaka mara 1
- Kutofanya ngono mara baada ya kujifungua, mimba kutoka ili kuhakikisha njia ya shingo ya uzazi imefunga vema.

Sheikh Pilingu Hijama & Ruqya Center
0713494945


FAHAMU UGONJWA WA KANSA DALILI NA TIBA YAKE.


KANSA au kwa jina jingine, Saratani, ni kundi la magonjwa yanayosababishwa na mgawanyiko usio sawa na usiodhibitika wa seli na kuunda uvimbe unaovamia na kuzidhuru tishu za mwilini. Kansa isiyotibiwa, inaweza kuwa ugonjwa unaoshambulia tishu nyingine mwilini na kusababisha kifo.

Kwa kawaida, kansa huusababishia mwili madhara pale inapoharibu seli na kuzifanya zigawanyike bila kudhibitika na kuwa uvimbe wa tishu unaojulikana kama tumor, isipokuwa katika kansa ya damu ambapo kansa huzuia utendaji wa kawaida wa damu kwa kuzifanya seli ziwe na mgawanyiko usio wa kawaida katika damu.

Historia ya Kansa

Asili ya neno kansa linatokana na daktari bingwa wa Ugiriki aliyeishi kati ya miaka 460 na 370 (K.K) anayejulikana kwa jina la Hippocrates. Hippocrates alitumia maneno 'Carcinos' na 'Carcinoma' kuelezea uvimbe unaotengeneza mchubuko (Carcinos) kwa upande mmoja, na uvimbe usiotengeneza mchubuko (Carcinoma) kwa upande wa pili.

Maneno haya ya Kigiriki, yana maana ya mdudu kaa. Hii ni kwa sababu ugonjwa ho wa kansa ulipogunduliwa kwa mara ya kwanza ulifananishwa na mdudu kaa kwa kuwa ulikuwa ikisambaa kila upande kama miguu ya mdudu kaa.

Kati ya miaka 25 na 50 (K.K), Daktari Bingwa mwenye asili ya Roma, aliyejulikana kwa jina la Celsus alitafsiri maneno hayo kwa neno la Kilatini, kwa kuita 'Cancer' likiwa na maana ya mdudu kaa. Miaka kati ya 130 na 200 (B.K), Daktari Bingwa mwingine kutoka Ugiriki, alitumia neno 'Oncos' likiwa na maana ya ‘kuvimba’ kuelezea uvimbe tofauti usiosambaa.

Hata hivyo, maneno ya Hippocrates na Celsus, ya 'Carcinos' na 'Cancer' yenye maana ya mdudu kaa ambayo bado yanatumika hadi leo kuelezea uvimbe unaosambaa, neno la Galen 'Oncos' linatumika tu kama sehemu ya somo linalohusu kansa (Oncology) au madaktari wa kansa (Oncologist
[8/29, 21:16] ‪+254 722 920271‬: Ni nini chanzo cha ugonjwa wa kansa?

Mwili wa binadamu umeundwa kwa trilioni za seli ambazo hukua, kugawanyika na kufa kwa mpangilio maalumu. Mwenendo ulioratibiwa vyema unasimamiwa na vinasaba (DNA) vilivyo ndani ya seli. Vinasaba hivyo, vinapatikana katika kila seli, na huongoza matendo yote yanayofanywa na seli. Katika seli ya kawaida, wakati vinasaba vinapoharibika, seli hukarabati au seli hufa.

Lakini katika seli za kansa, kinasaba kilichoharibika huwa hakiwezi kukarabatiwa na seli haifi kama inavyotakiwa, badala yake huendelea kutengeneza seli nyingine ambazo hazitakiwi na mwili na hivyo seli hizo mpya zote huwa na kinasaba kisichokuwa cha kawaida tofauti na seli salama.

Watu huweza kurithi kinasaba kisichokuwa cha kawaida, ingawa mara nyingi uharibifu wa kinasaba husababishwa na makosa yanayotokea wakati seli ya kawaida inapotengenezwa au kutokana na sababu za kimazingira. Ingawa inajulikana wazi kwamba kuna baadhi ya vitu vinavyoweza kuharibu kinasaba na kusababisha kansa, kama vile kemikali, uvutaji sigara, kuchomwa na jua na kadhalika, lakini bado hakuna uhakika wa moja kwa moja kuhusiana na kinachosababisha kansa.

Wakati mtu anapokuwa mtoto mdogo au bado akiwa ndani ya tumbo la mama, seli hujigawanya kwa haraka ili kumfanya akuwe.
Baada ya mtu kukua, seli nyingi hugawanyika kwa ajili ya kuchukua nafasi ya zile zilizozeeka na kufa au kwa ajili ya kukarabati majeraha.

Kansa huanza wakati seli katika sehemu mojawapo ya mwili zinapoanza kukua bila kudhibitiwa. Ukuaji wa seli za kansa hutofautiana na ukuaji wa kawaida wa seli za mwili, na badala ya kufa pale zinapozeeka, zenyewe huendelea kukua na kuzaa seli nyingine mpya zisizokuwa za kawaida.

Seli za kansa pia hushambulia kwa kuingia ndani ya tishu nyigine jambo ambalo halishuhudiwi katika seli za kawaida. Kwa kawaida seli za kansa husambaa katika sehemu nyingine za mwili ambako huko nako, huanza kukua na kuunda uvimbe (tumor) mpya na baada ya muda kupita uvimbe huo huchukua nafasi ya tishu mpya.

Kwa hiyo, kukua kusikodhibitiwa na kusiko kwa kawaida kwa seli, na tabia ya seli hizo kuzishambulia tishu nyingine, ndiko hasa husababisha seli za kansa.

Sifa za ugonjwa wa kansa

Si kila uvimbe ni kansa, bali kuna uvimbe ambao si kansa, ambao kitaalam huitwa 'Benign Tumors', kama vile Tezi dume (Benign Prostate Hyperplasia). Uvimbe huweza kugawanyika na kukua, na pia hutengeneza mirija mipya ya damu ili kujipatia lishe wenyewe. Kitendo hiki kitaalam huitwa 'Angiogenesis.'

Hata hivyo, uvimbe huu usiokuwa kansa, unaweza kuleta matatizo kama vile kukua sana na kuvibana viungo na tishu nyingine mwilini. Aidha, uvimbe kama huu, huweza kukua na kuingilia mifumo ya umeng'enyaji, fahamu na damu/limfu na huweza kutoa homoni zinazobadili utendaji wa kawaida wa mwili.

Ingawa uvimbe usiokuwa kansa unaweza kuwa hatari kwa afya, lakini hauwezi kuzishambulia seli nyingine au kusambaa katika viungo vingine mwilini. Uvimbe wa aina hii, mara nyingi hutibika na huwa hauhatarishi maisha.

Hata hivyo, aina zote za kansa zina sifa tatu zinazofanana. Sifa hizo ni ukuaji wa seli usiodhibitika, uwezo wa kuvamia na kushambulia tishu nyingine na uwezo wa kusambaa katika viungo vingine mwilini kupitia mishipa ya damu au mikondo ya limfu. Kitendo hicho cha vidudu vua ugonjwa wa kansa kusambaa mwilini kupitia mkondo wa damu na limfu, kitaalam huitwa 'Metastasis

Aina za kansa

Hadi sasa kuna aina zaidi ya 200 za kansa kulingana na kiungo gani cha mwili kimeathirika au eneo la mwili linaloshambuliwa.
Baadhi ya kansa huwashambulia zaidi wanawake, kwa mfano kansa ya matiti na kuna baadhi ambazo huwashambilia zaidi wanaume.

Baadhi ya kansa huwashambulia watu wa kundi fulani katika jamii kutokana na aina yao ya maisha au kazi wanazofanya kila siku, na hali kadhalika kuna baadhi ya kansa au saratani zinazoshambilia watoto zaidi kuliko watu wazima, kwa mfano kansa ya damu aina ya 'Lymphoblastic'.

Zifuatazo ni baadhi ya aina za kansa kulingana na tabia hizo hapo juu:-

CARCINOMAS. Hii ni saratani ambayo hushambulia viungo mbalimbali vya mwili vilivyo ndani na nje, kwa mfano mapafu, matiti, utumbo na kadhalika.
SARCOMAS. Hii ni saratani inayopatikana kwenye mifupa, misuli na tishu mbalimbali mwilini.
LYMPHOMAS. Hii ni saratani zinazoanza kwenye mikondo na vifundo vya limfu na kwenye tishu za kinga ya mwili.
LEUKEMIAS. Hii ni saratani zinazoanza ndani ya ute wa mifupa (bone marrow) na kukusanyika kwenye mishipa ya damu.
ADENOMAS. Hii ni saratani zinazochomoza kwenye tishu na tezi zinazotoa homoni mbalimbali hasa tezi zilizopo kichwani.

Ni nini huchangia kuwepo kwa ugonjwa wa kansa?

Asilimia 60 ya magonjwa yote ya kansa yanahusishwa zaidi na mtindo wa maisha ambao vipengele vyake ni ulaji, mazoezi ya mwili na matumizi ya pombe na tumbaku. Vitu vingine vinavyochangia, ni pamoja na virusi na bakteria, madini mazito, mionzi na sumu kadhaa.

Vyakula huchangia kwa kiasi kikubwa saratani za kinywa na koo, matiti, tezi ya kiume, utumbo mpana, mapafu, tumbo, ini, kongosho na kizazi. Ulaji unaoweza kuchangia ugonjwa huu, ni pamoja na ulaji wa nyama nyekundu kupita kiasi, nyama zilizosindikwa, vyakula vilivyokuzwa kwa kemikali nyingi kama mbolea, vyakula vyenye mafuta mengi ambavyo huweza kusababisha uzito mwingi na vyakula vilivyoota ukungu, kwa mfano karanga.

Kitaalam, nyama nyekundu ni muhimu kwa binadamu, lakini inakuwa tatizo pale inapoliwa zaidi ya nusu kilo kwa wiki. Ulaji wa nyama nyekundu mfano ng'ombe, unaongeza uwezekano wa kupata saratani ya utumbo mkubwa.

Tafiti zimeonesha kuwa kula nyama nyekundu hadi nusu kilo kwa wiki haiongezi uwezekano wa kupata saratani, lakini kila gramu 50 zinazoongezeka, huongeza uwezekano wa kupata saratani kwa asilimia 15.

Nyama zilizosindikwa pamoja na zile zilizohifadhiwa kwa kuongezwa chumvi, mafuta, kemikali au kukaushwa kwa moshi kama nyama za kopo, soseji na bekoni zinaongeza sana uwezekano wa kupata saratani. Hakuna kiasi chochote cha nyama iliyosindikwa kinachoweza kutumika bila kuongeza uwezekano wa kupata saratani.

Viazi vya kukaanga mfano viazi mviringo (ulaya), huongeza hatari ya kupata saratani hasa vikikaangwa kwenye mafuta yenye haidrojeni na lehemu. Viazi ni moja ya vyakula vyenye wanga sana na wakati wa kukaangwa hutoa 'Acrylamide' ambayo ni kisababishi cha  kansa hasa kwenye mfumo wa fahamu.

Vinywaji baridi/Laini  kama vile soda na juisi za viwandani navyo vinaweza kusababisha kansa. Utafiti uliofanywa mwaka 2010 na Jarida la 'Cancer, Epidemiology, Biomakers & Prevention' unaonyesha kuwa mtu aliyetumia soda mbili au zaidi ndani ya wiki moja, ana uwezekano wa kupata saratani ya kongosho kwa asilimia 87 kuliko mtu ambaye hatumii kabisa vinywaji hivyo laini.

Tafiti nyingine zimeonyesha uhusiano kati ya matumizi ya sukari na saratani za tumbo na utumbo mpana, ingawa sukari haifanyi seli nzuri zisizo na kasoro kuwa kansa ila sukari ni chakula ama chanzo cha lishe cha seli za kansa. Pombe na tumbaku. Matumizi ya pombe na tumbaku huchangia sana ongezeko la sarayani za koo na mapafu. Hapa nchini Tanzania, ongezeko ni kubwa kwa sababu ya matumizi ya vitu hivyo.

Kwa mfano, asilimia 90 ya wagonjwa waliopelekwa Hospitali ya Ocean Road, Dar es Salaam, walikuwa na historia ya kutumia vilevi vikali, tumbaku, pilipili kwa wingi na aina nyingine ya vitu vinavyosababisha saratani. Pombe inaongeza sana uwezekano wa kupata saratani hasa zile za koo, kinywa, ini na matiti.

Uzito Uliozidi kiasi unamweka pia mtu kwenye hatari ya kupata magonjwa mengi sugu, kama vile kisukari, msukumo mkubwa wa damu, magonjwa ya moyo, figo, na saratani za matiti, kongosho na kizazi. Utaratibu mzuri wa kula, husaidia kupunguza uzito au kuzuia ongezeko kubwa la mwili.

Virusi na Bakteria husababisha kansa ya ini, mdomo wa mji wa mimba, mdomo, ngozi, tumbo, mfupa wa taya na kibofu cha mkojo. Tabia kama kufanya mapenzi kwa mdomo, kama vile kunyonya uke au uume, huchangia kuenea kwa saratani za iana hiyo.
Ni nini kifanyike kupunguza uwezekano wa kupata ugonjwa huo?

Wataalamu wanashauri kwamba hatari ya kupatwa na kansa inaweza kupungua kwa kubadilisha muundo wa maisha ya mtu binafsi, kwa mfano kujiepusha na uvutaji wa sigara, kujiepusha kukaa juani kwa muda mrefu, kula lishe bora na kufanya mazoezi mara kwa mara.

Aidha, vyakula vitokanavyo na mimea ni kinga nzuri ya kuzuia saratani. Kutumia zaidi vyakula vitokanavyo na mimea husaidia kuondoa uwezekano wa kupata saratani za aina mbalimbali. Inashauriwa kula angalau vipimo vitano vya mboga mbalimbali kwa siku.

Hakikisha katika kila mlo unaotumia kunakuwa na nafaka zisizokobolewa kama vile unga wa ngano usiokobolewa sana, unga wa dona, mchele wa brauni, ulezi na kadhalika na aina mbalimbali za mikunde kama vile maharage, kunde, choroko na mbaazi.
Mazoezi ya mwili yanapaswa kuwa sehemu ya maisha ya kila siku. Inashauriwa kufanya mazoezi ya mwili ya wastani kama vile kutembea haraka haraka angalau dakika 30 kila siku, na mwili ukishazoea, unashauriwa kuongeza hadi kufikia dakika 60 kila siku.
Kama unafanya mazoezi ya nguvu sana, basi iwe angalau dakika 30 kila siku. Punguza sana mtindo wa maisha ambao unakufanya uketi bila mazoezi kama vile kuangalia televisheni kwa muda mrefu.

Tumia nafasi zote zilizopo za kuzoeza mwili kama vile kupanda ngazi badala ya kutumia lifti, kusaidia kazi za nyumbani, kutembea kwenda sokoni au dukani kama si mwendo mrefu na kadhalika.

Nini dalili za ugonjwa wa kansa?

Kwa kawaida saratani huanza taratibu, na huchukua muda mrefu kuonyesha dalili zake zote. Aidha, dalili za awali haziambatani na maumivu yoyote, hivyo kusababisha wagonjwa wengi kuchelewa kutafuta matibabu.

Magonjwa mengi ya saratani hutibika yakigundulika mapema. Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO), linaema asilimia 30 ya saratani zinaweza kuzuilika. Hivyo ni muhimu kwa kila mtu kumuona mapema mhudumu wa afya kila anapoona dalili zisizo za kawaida katika mwili wake, kama vile dalili za kutokwa na damu ukeni kwa mwanamke baada ya kufanya tendo la ndoa, baada ya kukoma mzunguko wa hedhi, au nje ya mzunguko wa hedhi.

Kukojoa mara nyingi zaidi ya kawaida au mkojo kutoka kwa shida; uvimbe wa zaidi ya wiki tatu shingoni, kwapani, tumboni, ngozi au matiti; kubadilika kwa kawaida ya kupata choo (kufunga choo); matiti kubadilika umbile, uvimbe, ngozi au kutoa maji maji.
Kukohoa au sauti ya kukwaruza kwa zaidi ya wiki tatu; shida au maumivu wakati wa kumeza chakula au vinywaji; kutokwa na damu kwenye choo, mkojo, makohozi au pua; kutokwa na ute, maji maji au usaha ukeni; uchovu bila kufanya kazi; kupungua uzito ghafla bila sababu na kukosa hamu ya kula chakula.

Jinsi ya kudhibiti kabisa kansa

Ikiwa kansa au saratani ishatokea na kuanza kusambaa mwilini, mambo muhimu yanayopaswa kuzingatiwa ili kudhibiti usambaaji huo ni pamoja na kutibiwa kwa kufanya upasuaji, tiba ikiwemo  (matibabu kwa dawa); kupata matibabu kwa njia ya eksirei (matumizi ya mnururisho wa kuweka ioni ili kuua seli za kansa na kunywea uvimbe); kupata matibabu ya tiba maradhi; kupata matibabu ya monokloni ya kingamwili au njia nyingine