HEKIMA YA KULETWA MITUME.

MwenyeziMungu anasema:- "Bila shaka tumempeleka Mtume katika kila umma (awaambie) ya kwamba "Mwabuduni MwenyeziMungu na muepukeni (Iblis) muovu". (An - Nahl -36)

MAISHA YA BARZAKH (BAADA YA KUFA)

MwenyeziMungu anasema: "Hapana! Hakika hili ni neno tu analolisema yeye (aliye mwovu anapofikiwa na mauti) na mbele yao kuna maisha ya baada ya kufa (ya taabu kwa wabaya na ya raha kwa wazuri) mpaka siku watakapofufuliwa!". (Al - Muminun - 100)

VITISHO VYA SIKU YA KIAMA

Na katika kauli Yake:- "(Wakumbusheni) Litakapotokea tokeo (hilo la Kiama). Ambalo kutokea kwake si uwongo. Lifedheheshalo (wabaya). Litukuzalo (wazuri). Ardhi itakapotetemeshwa mtetemeko mkubwa. Na milima itakaposagwa sagwa. Iwe mavumbi yanayopeperushwa". (Al - Waqiah - 1 - 6)

KUMTII MWENYEZIMUNGU NA KUMTII MTUME WAKE(SAW)

MwenyeziMungu anasema:- "Na wenye kumtii MwenyeziMungu na Mtume, basi hao watakuwa pamoja na wale aliowaneemesha MwenyeziMungu; Manabii na Masidiki na Mashahidi na Masalih (watu wema). Na uzuri ulioje (kwa mtu) watu hao kuwa rafiki (zake).” (An - Nisaa -69)

KUTOKA KATIKA DINI -"KUR-TADI"

MwenyeziMungu anasema:- "Wala hawataacha kupigana nanyi, mpaka wakutoeni katika dini yenu, kama wakiweza. Na watakaotoka dini yao katika nyinyi, kisha wakafa hali ya kuwa makafiri, basi hao ndio ambao amali zao zimeharibika katika dunia na akhera. Nao ndio watu wa Motoni. Humo watakaa milele." (Al - Baqarah -217).

KUTIBU HEDHI ISIYOKATIKA (Nazifu) , AU KIKOJOZI.

Nazifu ni tatizo la Mwanamke kutokwa na Damu mfululizo au kidogo kidogo ambayo ni tofauti na Hedhi ya kawaida.Somea Maji aya hii mara 21Surah Hud 44 mpaka kwenye neno waqudhwiyal amruوَقِیلَ یَـٰۤأَرۡضُ ٱبۡلَعِی مَاۤءَكِ وَیَـٰسَمَاۤءُ أَقۡلِعِی وَغِیضَ ٱلۡمَاۤءُ وَقُضِیَ ٱلۡأَمۡرُ ....mpe anywe siku 21 kutwa x3Damu au Mikojo itakatika biidhnillaahi.Kama una tatizo hili na unahitaji Maji ya Dua nipigie au nitafute WhatsApp +255713494945Naweza kukutumia popote ulipo.Gusa maneno haya uone maelekezo kuhusu tiba ya nazifu au kikoj...

PUMU NA TIBA YAKE.

Ugonjwa wa pumu ni ugonjwa ambao huathiri sehemu ya kupitisha hewa kwenye mapafu ya binadamu zinazojulikana kitaalamu kama bronchioles. Mtu mwenye pumu huwa na mcharuko mwili sugu (chronic Inflammation) kwenye mirija yake ya kupitishia hewa (bronchioles tubes) hali ambayo husababisha kuvimba kwa kuta za mirija hii, kujaa kwa ute mzito (mucus) na kupungua kwa njia ya kupitishia hewa, hali ambayo humfanya muathirika kushindwa...

HIJAMA NI NINI?

Faida za Kuumika/Chuku/HIJAMAKitendo cha kuumika ni sunna ya Mtume Muhammadi ( ﷺ ) na imepokewa mara nyingi sana katika hadith zilizo sahihi. Kuumika ni kitendo kilichohimizwa na kutiliwa mkazo katika mapokezi mengi. Kuumika ni sehemu ya mfumo unaokamilisha Tiba ya kiutume ya Kiislamu.Kuumika kulikuwa zoezi la kawaida la Mtume Muhammad ( ﷺ ) na Maswahaba zake kwa kutibu maradhi na magonjwa mengi na hata kuukinga mwili na kuboresha afya.Maana YakeHijama au kuumika ni salama, isiyokuwa na madhara na njia isiyogharimu katika kutibu na kuzuia maradhi....

What is HIJAMA, What is Cupping

Benefits of / Chuku / HIJAMA The act of Hijama is the sunnah of the Prophet Muhammad (ﷺ) and has been received many times in authentic hadiths.  Hijama is an act that is encouraged and emphasized in many receptions.  Hijama is part of the system that completes Islamic Apostolic Medicine. Hijama was a common practice of the Prophet Muhammad (ﷺ) and his Companions to treat many ailments and diseases and even to protect the body and improve health. Meaning Hijama is a safe, harmless and cost-effective way to treat and...

JIPATIE MAFUTA YA NAZI

MAFUTA YA FIRDAUSI.Hakikisha unapata mafuta ya nazi ambayo ni ya asili kwa asilimia 100, ikiwa utanunua dukani kuna uwezekano mkubwa yakawa yamechanganywa na kemikali zingine au haidrogeni kitu kinachoyapunguzia thamani ile ya asili. Tupigie tukupa tupatie Na Mafuta ya nazi kwa bei nafuu.+255713494945Chupa ya ml 100 sh 2000Lita 1 ml 1,000 sh 18,000lita 5 sh elfu 60,000 ...