HEKIMA YA KULETWA MITUME.

MwenyeziMungu anasema:- "Bila shaka tumempeleka Mtume katika kila umma (awaambie) ya kwamba "Mwabuduni MwenyeziMungu na muepukeni (Iblis) muovu". (An - Nahl -36)

MAISHA YA BARZAKH (BAADA YA KUFA)

MwenyeziMungu anasema: "Hapana! Hakika hili ni neno tu analolisema yeye (aliye mwovu anapofikiwa na mauti) na mbele yao kuna maisha ya baada ya kufa (ya taabu kwa wabaya na ya raha kwa wazuri) mpaka siku watakapofufuliwa!". (Al - Muminun - 100)

VITISHO VYA SIKU YA KIAMA

Na katika kauli Yake:- "(Wakumbusheni) Litakapotokea tokeo (hilo la Kiama). Ambalo kutokea kwake si uwongo. Lifedheheshalo (wabaya). Litukuzalo (wazuri). Ardhi itakapotetemeshwa mtetemeko mkubwa. Na milima itakaposagwa sagwa. Iwe mavumbi yanayopeperushwa". (Al - Waqiah - 1 - 6)

KUMTII MWENYEZIMUNGU NA KUMTII MTUME WAKE(SAW)

MwenyeziMungu anasema:- "Na wenye kumtii MwenyeziMungu na Mtume, basi hao watakuwa pamoja na wale aliowaneemesha MwenyeziMungu; Manabii na Masidiki na Mashahidi na Masalih (watu wema). Na uzuri ulioje (kwa mtu) watu hao kuwa rafiki (zake).” (An - Nisaa -69)

KUTOKA KATIKA DINI -"KUR-TADI"

MwenyeziMungu anasema:- "Wala hawataacha kupigana nanyi, mpaka wakutoeni katika dini yenu, kama wakiweza. Na watakaotoka dini yao katika nyinyi, kisha wakafa hali ya kuwa makafiri, basi hao ndio ambao amali zao zimeharibika katika dunia na akhera. Nao ndio watu wa Motoni. Humo watakaa milele." (Al - Baqarah -217).

FAHAMU UGONJWA WA KANSA DALILI NA TIBA YAKE.

KANSA au kwa jina jingine, Saratani, ni kundi la magonjwa yanayosababishwa na mgawanyiko usio sawa na usiodhibitika wa seli na kuunda uvimbe unaovamia na kuzidhuru tishu za mwilini. Kansa isiyotibiwa, inaweza kuwa ugonjwa unaoshambulia tishu nyingine mwilini na kusababisha kifo. Kwa kawaida, kansa huusababishia mwili madhara pale inapoharibu seli na kuzifanya zigawanyike bila kudhibitika na kuwa uvimbe wa tishu unaojulikana kama tumor, isipokuwa katika kansa ya damu ambapo kansa huzuia utendaji wa kawaida wa damu kwa kuzifanya seli ziwe na mgawanyiko...

TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO (Ulcers).

1. Chemsha habasoda na bizari ya pilau katika maji kunywa kikombe cha chai kutwa x 1 Kila siku kwa miezi 3. Au 2. Mafuta ya habasoda na habarehani katika maziwa fresh glasi 1 x 3 Kila siku kwa miezi 3. Au 3. Asali lita1 na unga wa ganda la ndizi vijiko 3 changanya vizuri kisha kula kijiko 1 x 3 Kila siku kwa miezi 3. Au 4. Ganda la komamanga vijiko 3 na habasoda unga kijiko vijiko 2 tia katika asali lita1 changanya vizuri kisha chota vijiko 2 tia...

TIBA YA KIHARUSI (KUPOOZA)

1. Soma Ruqya 2. Unga wa Udi karaha vijiko 2, na Habasoda vijiko 2 katika asali lita 1 changanya kisha kula vijiko 2X3 kila siku. Au 3. Changanya kijiko kimojakimoja cha Bakalhadi, manimani,habatsoda, sufa, makal-arzak, jauza, kakila, udikaraha, ubani maka,ubani dhukra,ubanimashtaka, halilinji, abilinji, tangawizi, hiliki,darufilfili, halititi,basbas jauza. Vyote view ujazo sawa ila sufa izidi changanya na asali lita 1 na siki kikombe 1. Kula kijiko kikubwa 2X3 Mgonjwa avae nguo za kumwongezea joto muda wote. Au 4.Chemsha kila siku majani ya...

TIBA YA MARADHI YA FIGO.

1. Kula vijiko 2 vya asali iliyochanganywa na habasoda. Utie katika glasi ya maji moto. Au .2. Kula zabibu kavu 21 kila asubuhi kwa mwezi. Au 3. Asali lita 1, habasoda unga kijiko1  na thaum kikombe cha kahawa.  kula kijiko kikubwa 2X3 na kila baada ya chakula kula limao 1. Au 4. Habasoda kijiko1, harmal kijiko1, Jirjir kijiko1  changanya na asali lita 1. kula vijiko 2X3 katika maziwa moto siku 7-21 Au Chemsha ndevu za mahindi...

JE UNAJUWA KIUNGULIA NI NINI?

KIUNGULIA NA TIBA YAKE. Kiungulia (heart burn) ni hali ya kuckia kama unaungua ndan ya koo nayo ni baada ya fluid (HCL acid) ilioko tumbon kupanda kwenye mrija wa chakula (oesophagus) hutokana na kula vyakula vya wanga kwa wingi (starch) na gesi ni hewa tu ambayo mara nyng hua inajaa tumboni huweza sababishwa na wadudu wanao act ktk chakula na kutoa gesi kama ni moja ya product zake hata helicobacta pylory anaesababisha vidonda va tumbo husababisha...

YAJUWE MAMBO 10 YANAYOHARIBU FIGO.

Kwa kifupi sana leo tunakutajia baadhi ya Tabia zinazochangia kuharibika kwa Figo. Tutambue kuwa tatizo hili la kufeli kwa figo limeshawakumba wengi na baadhi yao wameshapoteza maisha. Ukiwa mzima mshukuru Mungu na ni vyema ukasoma makala hii ili kujinusuru na janga hili la kuharibikiwa figo. Hizi hapa ni baadhi ya tabia 10 zinazoharibu figo: 1. Kubana mkojo kwa muda mrefu 2. Kutokunywa maji ya kutosha 3. Kutumia chumvi nyingi 4. Kula nyama mara...

WENGU KUVIMBA MWILI

1. DUA Au 2. changanya unga wa Hulba na natrun au Khardali pamoja na siki- paka Au 3. habasoda na siki ya Zabibu chemsha kisha paka kwenye uvimbe na ule vijiko 2...

DAWA YA NGOZI. (Mba, upele, Chunusi, Fangasi, Miwasho, Malengelenge, Mapunye, Utangotango n.k.

1. Mafuta ya habasoda changanya na mafuta ya waridi na ngano nyukundu- vyote ujazo sawa ila ngano izidi kisha upake kutwa X2 au soma 1:1 au 57:4 KUUNGUA MOTO 2. Ngozi iliyoteketea kwa moto paka asali iliyo changanywa na ute wa yai. FANGASI 3. Kibiritu azraqu na aswfaru na maziwa ya cowball na mafuta paka kutwa X2 4.Changanya sufa na asali na unywe kijiko 1X3 5.Soma dawa namba 9 6.Changanya mafuta ya H.soda na mafuta ya wardi na ngano nyekundu. Vyote...

UTAMJUAJE MTU ALIYEATHIRIKA NA UCHAWI AU MAJINI?.

1.  Kuumwa kichwa upande mmoja,meno,mgongo,kiuno na kubanwa kifua. 2.  Kuumwa tumbo chini ya kitovu hii ni kwa akinamama. 3.  Moyo kwenda mbio na kushtuka bila asbabu. 4.  Kushika moto mwili hasa miguu pmj na ganzi na maumivu makali. 5.  Kizunguzungu mara kwa mara. 6.  Kuumwa tumbo sana kwa akinamama wakati wa period pmj na kutoa damu nyingi au chache sana. 7.  Kupata maumivu makali wakati wa jimai kwa akinamama na kukosa hamu ya tendo hilo au kulichukia kabithaaaa. 8.  Kutembelewa na vitu mwilini. 9. ...

AAYAATUL BASWARI

Ni aya ambazo unaweza kumsomea Mgonjwa yoyote wa Macho yanayo uma, uhafifu wa kuona, kutoa uchafu, kutoa machozi, kuona giza kukereketa, kuchonyota n.k. Msomee kutwa x2 Bi-idhnillaahi anaweza kupona bila bila kumpa kitu chengine. (وَلَتَجِدَنَّهُمْ أَحْرَصَ النَّاسِ عَلَىٰ حَيَاةٍ وَمِنَ الَّذِينَ أَشْرَكُوا ۚ يَوَدُّ أَحَدُهُمْ لَوْ يُعَمَّرُ أَلْفَ سَنَةٍ وَمَا هُوَ بِمُزَحْزِحِهِ مِنَ الْعَذَابِ أَنْ يُعَمَّرَ ۗ وَاللَّهُ بَصِيرٌ بِمَا يَعْمَلُونَ) [Surat Al-Baqarah 96] (وَأَقِيمُوا الصَّلَاةَ وَآتُوا الزَّكَاةَ ۚ وَمَا تُقَدِّمُوا لِأَنْفُسِكُمْ...