1. Changanya asali lita 1 na habasoda ya unga kijiko1 na ya mafuta kijiko 1
Kunywa vijiko 2 kutwa x3
Au
2. Chemsha hulba ya Unga kijiko1 maji lita 1 pilipili nyeupe kijiko1.
kunywa kikombe 1x3 kwa siku 7.
1. Changanya asali lita 1 na habasoda ya unga kijiko1 na ya mafuta kijiko 1
tafadhari uliza swali hapa ujibiwe, |