HEKIMA YA KULETWA MITUME.

MwenyeziMungu anasema:- "Bila shaka tumempeleka Mtume katika kila umma (awaambie) ya kwamba "Mwabuduni MwenyeziMungu na muepukeni (Iblis) muovu". (An - Nahl -36)

MAISHA YA BARZAKH (BAADA YA KUFA)

MwenyeziMungu anasema: "Hapana! Hakika hili ni neno tu analolisema yeye (aliye mwovu anapofikiwa na mauti) na mbele yao kuna maisha ya baada ya kufa (ya taabu kwa wabaya na ya raha kwa wazuri) mpaka siku watakapofufuliwa!". (Al - Muminun - 100)

VITISHO VYA SIKU YA KIAMA

Na katika kauli Yake:- "(Wakumbusheni) Litakapotokea tokeo (hilo la Kiama). Ambalo kutokea kwake si uwongo. Lifedheheshalo (wabaya). Litukuzalo (wazuri). Ardhi itakapotetemeshwa mtetemeko mkubwa. Na milima itakaposagwa sagwa. Iwe mavumbi yanayopeperushwa". (Al - Waqiah - 1 - 6)

KUMTII MWENYEZIMUNGU NA KUMTII MTUME WAKE(SAW)

MwenyeziMungu anasema:- "Na wenye kumtii MwenyeziMungu na Mtume, basi hao watakuwa pamoja na wale aliowaneemesha MwenyeziMungu; Manabii na Masidiki na Mashahidi na Masalih (watu wema). Na uzuri ulioje (kwa mtu) watu hao kuwa rafiki (zake).” (An - Nisaa -69)

KUTOKA KATIKA DINI -"KUR-TADI"

MwenyeziMungu anasema:- "Wala hawataacha kupigana nanyi, mpaka wakutoeni katika dini yenu, kama wakiweza. Na watakaotoka dini yao katika nyinyi, kisha wakafa hali ya kuwa makafiri, basi hao ndio ambao amali zao zimeharibika katika dunia na akhera. Nao ndio watu wa Motoni. Humo watakaa milele." (Al - Baqarah -217).

TATIZO LA MINYOO.

1. Chemsha Qusti kunywa. 2. Asali glasi moja na habasoda ya unga kijiko1  na thaumu kijiko1 changanya. kula vijiko 3x3. Au 3 tumia kitunguu thaumu. KITUNGUU SWAUMU NI DAWA YA MARADHI ZAIDI YA 30 HARUFU ICHOMAYO. Ili kuepukana na harufu ya kitunguu swaumu baada ya kukila kula tofaa au tafuna majani mabichi ya naanaa, au kunywa maji yaliyotokosewa karafuu. Kitunguu swaumu kitapoteza nguvu ya tiba iwapo kitapikwa na kila kinapowekwa muda mrefu ndipo nguvu zake huongezeka (baada ya majani yake kukauka kabisa). Kitunguu swaumu kimekusanya protin...

15. KUFUNGUWA MAZIWA ILI YATOKE.

1. Changanya asali lita 1 na habasoda ya unga kijiko1  na ya  mafuta kijiko 1 Kunywa vijiko 2 kutwa x3 Au 2. Chemsha hulba ya Unga kijiko1 maji lita 1 pilipili nyeupe kijiko1. kunywa kikombe 1x3 kwa siku 7. ...

1-TIBA YA NGOZI

Tiba. 1. Mafuta ya habasoda changanya na mafuta ya waridi na ngano nyukundu- vyote ujazo sawa ila ngano izidi kasha upake kutwa X2 au soma 1:1 au 57:4 KUUNGUA MOTO 1. Ngozi iliyoteketea kwa moto paka asali iliyo changanywa na ute wa yai. FANGASI 1. Kibiritu azraqu na aswfaru na maziwa ya cowball na mafuta paka kutwa X2 Changanya sufa na asali na unywe kijiko 1X3  Soma dawa namba 9 Changanya mafuta ya H.soda na mafuta ya wardi na ngano nyekundu. Vyote ujazo sawa ila ngano iweX2 paka kutwa X2 NGOZI ILIYOTEKETEA KWA MOTO Changanya asali na ute...